EPUKA UPOTOSHAJI MPYA WA WANA CCM
Amani iwe nanyi wadau
Leo napenda kuwaelimisha watanzania wenzangu juu ya upotoshaji mpya wa wana Ccm kwa watanzania. Ukipata ujumbe huu sambaza kwa mwingine kwa namna yeyote unayoweza, iwe Facebook, Twitter, Insta au Whatsup.
Kumetokea maneno kutoka kwa wana...