Marehemu hakufa kifo cha kushtukiza, alijua ugonjwa wake utampeleka kaburuni ndio maana akaomba hadi mpako wa wagonjwa,
Je hakuacha ujumbe wowote wa kuzingatiwa kwa aliokuwa akifanya nao kazi kwa karibu?
Kwa nini hatujawahi kusikia wosia wa marehemu kutoka kwa yeyote aliyekuwa karibu naye...