ujumbe

  1. astalavista

    Ujumbe MUHIMU kwa wamiliki wa shule.

    Nafahamu uwepo wa mapumziko mafupi kwa wanafunzi wenu, hivyo basi nimeona nikiwapa namna bora ya kufikisha taarifa kwa wazazi na walezi kwa haraka na ufanisi mno. Suluhisho ni mfumo wa BULK SMS ambao utakurahisishia kutuma ukumbusho wa ada kwa wazazi wote hata wakiwa elfu 50 kwa dakika Moja...
  2. M

    Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  3. R

    Nimependa ujumbe wa Mange Kimambi kwa radical Muslims

    Mastermind wa mauwaji ya waandamanaji wa Iran, Ali Larijani, is dead Justice served!!!!! Wauwaji wa wananchi wanatakiwa kukutana na kifo kama wanachowapa wananchi wao. I’m a Muslim, I’m not a radical Muslim. UAE, Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain hao pia ni Muslims na sio radical Muslims ila...
  4. The Palm Beach

    From Ukonga Prison: Ikulu ilituma ujumbe mwingine kumtaka mwamba akubali "msamaha" wa Mama. Tundu Lissu akataa, amwambia afute kesi kwa kuwa ni uongo

    Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
  5. Pdidy

    UJUMBE WA KIDUME BALTHAZAR KWENDA KWA RAISI WA GUINEA MZEE WA 400

    Mtukufu Rais wa Jamhuri yetu tukufu ya Equatorial Guinea, Kwa heshima na unyenyekevu naiomba serikali yako tukufu kuitazama kwa jicho la huruma kutokana na hali ngumu ninayopitia. Nimekuwa nikishikiliwa na serikali kwa zaidi siku 365, na katika kipindi hiki chote nasikitika kukuambia kuwa...
  6. Driz de Mafwele

    Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia. Anasema asingeenda India angepooza milele. Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India. Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video. Soma...
  7. Manyanza

    Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  8. L

    Mch. Peter Msigwa: Wenza wa Darasani na Ujanja wa Maisha

    Ndugu zangu Watanzania, Nimepita Sehemu mtandaoni nikakutana na ujumbe wa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa. Ujumbe ambao umenikosha na kunigusa sana. Ni ujumbe Ambao amejaa mafundisho na darasa tosha ambalo pengine unaweza ukafika chuo kikuu na usifundishwe . Embu Soma Mwenyewe 👎 WENZA WA...
  9. L

    Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
  10. comrade_kipepe

    Kama wewe ni Mlokole upo hapa jukwaani, chukua ujumbe huu peleka kanisani kwenu

    (i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
  11. Roving Journalist

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  12. Peter Dafi

    Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

    #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
  13. T

    Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
  14. mrxtz2026

    Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  15. Q

    Lissu atuma ujumbe maalum kwa heshima ya mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei

    Ujumbe huo unatarajiwa kusomwa wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mtei tarehe 23 Januari 2026, kabla ya mazishi yake tarehe 24 Januari nyumbani kwake Tengeru, Arusha. ==== UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA TUNDU LISSU KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI. EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI...
  16. itakiamo

    Ushauri / Ujumbe kwa JWTZ

    NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES). Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa katika kuelimisha na kuunganisha jamii, napendekeza JWTZ itengeneze series mbili hadi tatu zenye lengo...
  17. R

    Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  18. astalavista

    Weka ujumbe wa kibiashara kwa njia ya sauti, mtu akikupigia

    Mtanzania, Karibu kwenye huduma ya Ring back Tunes, huduma ya ujumbe wa sauti kwenye simu yako wakati mtu anakupigia. RBT inaweza kutumika na mtu yoyote, mathalani Wafanyabiashara/Kampuni/Taasisi na wengineo. Kupitia RBT mfanyabiashara anaweza kutengeneza tangazo lake na kufanya mbadala wa...
  19. 4

    Nataka kutana na top 3 viongozi wa nchi hii. Nipo na ujumbe kwao

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 . Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa...
  20. M

    Watumishi wa umma tuwe tunajiandaa kustaafu mapema kabla ya miaka 55 au 60. Ujumbe huu muhimu kwa walimu

    Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
Back
Top Bottom