ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi

    Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia tembelea Ujenzi wa Nyerere Hydroelectric Dam

    Mh Rais wa JMT. Jana wakati ukizindua na kukabidhi nyumba kwa wakazi wa Magomeni Quarters. Ulikaririwa ukisema kwamba,watu huko mitaani wanaongea kwamba miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM huenda haitakamilishwa. Lakini ukautumia mradi ule wa Magomeni Quarters kama uthibitisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia kuuza nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu ya mpangaji mnunuzi, watarejesha gharama za ujenzi bila ardhi

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia kuuziwa wananchi nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu wa mpangaji mnunuzi kwa kurejesha gharama za ujenzi pekee bila gharama za ardhi. Rais Samia kasema wakitoza ardhi wahusika watashindwa kuzinunua. Pia Rais amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa kuachana na sifa za ujenzi wa madarasa na badala yake tujikite kwenye teknolojia za ulinzi wa Taifa

    Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi. Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

    Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo. Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa Hii ni RC Kibosho...
  6. JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi TZS 13M

    Wakuu habari, Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa frame ya duka uzingatie mahitaji ya mtumiaji

    Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia duka. Mhudumu anahitaji kula, anahitaji kwenda haja. Haya ni mambo ya muhimu kwa kila binadamu...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  11. N

    JamiiForums Tanzania DC Kinondoni: Fuatilia ujenzi huu holela!

    Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Tunauza ramani na kufanya ukadiriaji wa material ya ujenzi

    Habari wakuu poleni na majumu, Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Morogoro: Hujuma Mchana Kweupe Ujenzi wa Mitaro ya Barabara

    Wadau mada inajieleza; nimeshitushwa sana nimepita Morogoro eneo la Mkundi ambako mwaka jana tu miezi ya mwishoni ulifanyika ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kandokando ya Highway ya Morogoro - Dodoma. Mvua iliyonyesha siku chache zilizopita imesomba mawe yote yaliyojengwa kwa cement na mchanga...
  14. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya vyumba sita kwa lengo la kupangisha ni sawa na biashara ya reja reja

    Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki. Biashara hii ni...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    Mbao ndefu futi 20. 2 X 4 = 150Pcs 2 X 2 = 130Pcs 1 X 8 = 18Pcs 1 x 10 = 12Pcs BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30) Kofia = 30 Valley 15 Misumari ya nnchi 4 = 50kg misumari ya nnchi 2.5 = 4kg Misumaru ya Bati =30 packet kenchi wire = 6
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  17. JamiiForums Tanzania Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  18. JamiiForums Tanzania Fursa ya kujifunza ujenzi katika kiwanda kidogo

    Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi. Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

    Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango). Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
  20. JamiiForums Tanzania Sh Bilioni 1.4 zatolewa ujenzi wa Daraja la Tembela, Mbeya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Tembela ili kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara na madaraja katika eneo hilo. Akikagua miundombinu ya barabara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…