ujenzi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi atimiza ahadi ya kuchangia saruji ujenzi wa zahanati na shule ili kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
  3. JamiiForums Tanzania Rukwa: Ujenzi wa mradi wa barabara ya Ntendo-Muze-Kilyamatundu (Km 179) kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Tanzania kupitia TANROADS inajenga mradi wa barabara ya Ntendo- Muze-Kilyamatundu (Km 179) mkoani Rukwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza mara ya baada ya kutembelea mradi huo, unaojengwa na kampuni ya China Geo – Engineering Corporation Ltd (CGC) leo Aprili 30-2023 Waziri Ujenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Bilioni 230 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa shule za msingi kupitia mradi wa kuimarisha ujifunzaji katika elimu ya awali na msingi

    BILIONI 230 ZIMETOLEWA KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA SHULE ZA MSINGI KUPITIA MRADI WA KUIMARISHA UJIFUNZAJI KATIKA ELIMU YA AWALI NA MSINGI (BOOST) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi 230,008,500,000 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

    Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni.. My Take Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia zaidi ya gharama za Kujenga SGR. Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa? Kama Kuna ulazima wa Hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
  7. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kigoma: Ujenzi wa Daraja la Malagarasi unaendelea, Mhandisi asema lina urefu wa Mita 76

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi. Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
  12. JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  13. JamiiForums Tanzania Bupe Ahoji Ujenzi wa Barabara Inayopitia Mbuga ya Wanyama ya Katavi

    BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. "Ni...
  14. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa 100%

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Unma na Utawala Bora, George Simbachawene ametoa hotuba kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwaajili ya Ofisi ya Rais kwa mwaka 2023/2024 Bungeni Dodoma leo ambapo amesema ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya Ludewa - Kilosa yenye urefu wa Kilometa 24 umefikia Asilimia 90

    Musa Madirisha Kaswahili, Mhandisi Mwandamizi, Msimamizi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, TANROADS Morogoro anaelezea hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Ludewa - Kilosa (Kilometa 24) Mkoani Morogoro umefika katika 90%. Amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni kunyanyua tuta la barabara na kuweka...
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro: TANROADS yasema ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Rudewa-Kilosa (Kilometa 24) umefikia 90%

    Mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Ludewa-Kilosa yenye urefu wa kilometa 24 umefikia asilimia 90 ambapo mradi huo unatarajiwa kukamilika Julai, 2023. Kazi iliyobakia ni ujenzi wa madaraja matatu huku ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kidatu - Ifaraka wafikia 78%, Daraja la Ruaha Mkuu kupitisha magari pande mbili

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Pwani: Baada ya mvua kuharibu Barabara ya Chalinze – Segera, TANROADS waendelea na ujenzi hadi usiku

    Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani. Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  20. JamiiForums Tanzania Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…