Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,
Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana.
Uzi huu hapa...
Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu.
Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito.
Ukiangalia...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito.
Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee?
Chanzo: Azam Tv
WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA
WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA
Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔
👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza kushangaa kwa nini mimba haishiki… au ukaingia kwenye mimba bila kutarajia.
Hatua za Kujua Mzunguko Wako 🩸...
Habari wakuu, poleni na majukumu.
Naombeni kujua kama Kuna uwezekano wa huyu Binti kupata ujauzito.
Binti anasema mzunguko wake hubadilika japo kwasasa anasema ni siku 24 na anapata hedhi kwa siku 5, Sasa tarehe 9 mwezi huu wa 8 mda kama wa Saa 12 jioni aliniambia ameingia hedhi akamaliza...
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo.
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki CENCO, limesema Shule zake hazitatekeleza agizo hilo la serikali.
Kupitia barua ya wazi, walioijibu serikali...
Habari wadau, binafsi najiuliza
Kwa nini ujauzito na uzazi huwapenda watu wasio na pesa?
hawa watu, wanapata mimba kwa urahisi sana na haziharibiki na wanazaa bila matatizo. Ila sasa wale wenye pesa wanateseka sana kuanzia kupata mimba, miscarriage na hata uzazi wenye mateso mengi.
Why...
Bwana ni mwema wakati wote.
Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA.
Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
Wakulungwa salama?
Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia
Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda kama miaka miwili sasa. Lakini hapa mwishoni tukaongea na kukubaliana kuacha/kusitisha mahusiano...
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa Bodaboda aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tabora Wasichana (Tabora girls) kuhamishwa kwa walimu wenye miaka zaidi ya 10 katika shule hiyo na kuchunguzwa kwa Daktari aliyemfanyia vipimo mwanafunzi huyo aliyejifungulia...
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min amefungua kesi Polisi dhidi ya Mwanamke ambaye alidai ana ujauzito wa staa huyo wakati sio kweli na kwamba alifanya hivyo kwa lengo la kupata fedha kutoka kwa Son.
Wanasheria wa Son wanadai Mdada huyo alitoa madai hayo Juni 2024 na akataka fedha...
Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025.
Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
Habarini
Nina ujauzito nimepima
Nikaenda kufanya na ultrasound
Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu
Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2
Si umwi kokote mwilini
Msaaada wenu jamaii
Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116]
Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake...
Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito.
Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa tutawategemea sana wamama/wadada mliomo humu ole wenu mtulishe kasa.
na kama walipatia huko vitani je...
Ndugu zangu salaam sana..
Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito.
Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2
Baada...
Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito,
1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story
2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani.
3...
Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.
Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko nyumbani mkoani singida
Kwa jinsi nilivosimuliwa huyu mwanamke ambaye ni mtoto wa ndugu yangu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.