ujasiriamali

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kitambulisho cha ujasiriamali hakina risiti, jina, picha wala anuani?

    Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote. Kuna maswali ya msingi ya kuhoji na kutafakari. Kwa mfano; 1. Kwanini kitambulisho kiuzwe elfu 20, badala ya kutolewa bure? (Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana Ujasiriamali sio Muhuri wa utajiri: Mafanikio yake hayana utofauti na ya mwajiriwa, mkulima, mwanasiasa, mwanamuziki au Mcheza mpira

    Nimecopy na kuileta humu Naomba unisikilize na unielewe vzr sana. Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi benki inaweza kukupa mkopo kwa kitambulisho cha Ujasiriamali?

    "Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya kujaza fomu kama kumbukumbu ili upewe. Then ukachukulie mkopo benki. Hivi benki siku hizi zinaendeshwa...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Gelato Hard ice cream machine for sale

    Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato. Voltage: 110V/220V 50/60hz Power: 1.6KW Size: 525 x 490 x 640mm Weight: 65kg Cylinder : 5L Cylinder Size: 22 x 10.5cm Capacity: 20L/h Machine ina uwezo wa kuzalisha mpaka lita 20 kwa saa,unaweza pia ukaweka...
  5. JamiiForums Tanzania Vitabu 5 Vya Ujasiriamali Vya Kusoma 2020 Kukuza Kipato Chako

    Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha: Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni: 1. Miongozo ya...
  6. JamiiForums Tanzania NGO's vs Serikali vs Biashara: Nani anaweza kutatua changamoto za kijamii?

    Coronavirus limekuwa ni janga kubwa la kijamii. Lakini, kwa bahati mbaya, sio janga pekee la kijamii ambalo dunia inalikabili kwa mwaka huu 2020. Mabadiliko ya hali ya hewa. Kuongezeka kwa 'gap' la walionacho na wasionacho. Ongezeko kubwa la watu. Mgawanyo usio sawa wa matumizi ya rasilimali...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Growth Hacking

    Kuanzisha na kukuza biashara ni ndoto na malengo ya kila mjasiriamali, lakini mara nyingine ni vigumu sana kupata mawazo ya namna ya kutoka ngazi moja kwenda nyingine. Biashara nyingi ndogo ndogo huwa zinaanzishwa lakini zinakwama, hazikui na pengine zinakufa kabisa. Ndiposa nimefikiri ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali kuanza msako kwa wasio na vitambulisho vya ujasiriamali

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali. Mwanri ametoa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha kikundi cha Ujasiriamali

    Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
  10. JamiiForums Tanzania Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

    Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
  11. JamiiForums Tanzania Kitabu: Biashara ndani ya ajira, toleo la pili, Oktoba 2019

    Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao. Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
  13. JamiiForums Tanzania KIJANA MSHONAJI ANATAFUTWA

    fursa. natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani. Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja. Mtu yuko interested anifwate inbox.
  14. JamiiForums Tanzania Mfahamu Jacob Mushi

    Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa. Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
  15. JamiiForums Tanzania Udogo ni kipimo cha mafanikio???

    Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na...
  16. JamiiForums Tanzania Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

    Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…