Roughly faida itakuja 3000-3700 kwa siku. Other things remain constant. Na hapo ni kama haleti uswahili wa nauguza, nilikamatwa nk. Piga hesabu mwenyewe kuanzia kununua mpaka ikae barabarani. Halafu na hizo 10k atazokua anakuletea kila siku. Na matengenezo kadhaaNi ya kwangu sio ya mkataba japo nahitaji nimkabidhi mtu awe anafanya marejesho kwa muda husika then baada ya kumaliza marejesho iwe yake
Kifupi kumnunulia mtu bodaboda ya mkataba ni kumsaidia, boss hana anachopata. Boxer BMX inafika 3.3m nadhani, mkataba wa miezi 14, kila siku 12k, boss anapata pesa ya mboga tu, hapo hujaweka vitu kama kucheleweshewa marejesho, vijana wengi wahuni tu they don't care.Roughly faida itakuja 3000-3700 kwa siku. Other things remain constant. Na hapo ni kama haleti uswahili wa nauguza, nilikamatwa nk. Piga hesabu mwenyewe kuanzia kununua mpaka ikae barabarani. Halafu na hizo 10k atazokua anakuletea kila siku. Na matengenezo kadhaa
Ukifanya boda wewe binafsi kwa kujituma sana kwa siku hutakosa elfu 20.Wakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
Yeah, boda ikiwa yake anapata pesa. Kuna dogo namuozesha, anatafuta mahari so anawekeza kwangu almost 15k daily na mambo yake yanaenda, menunua plot kwa 3.5m, na ameshaanza kununua tofali. IUkifanya boda wewe binafsi kwa kujituma sana kwa siku hutakosa elfu 20.
kwa mwezi una laki 6,
kwa mwaka una milioni saba na laki 2.
Hapo umeondoa gharama za mafuta, matengenezo na Chakula.
Tafuta vijiwe vyenye mzunguko mkubwa wa abiria.
andaa kiingilio cha kijiwe kama laki tano hivi
watu watahisi labda mimi ni motivational speaker kwa hizo fact nilizoweka hapo.Yeah, boda ikiwa yake anapata pesa. Kuna dogo namuozesha, anatafuta mahari so anawekeza kwangu almost 15k daily na mambo yake yanaenda, menunua plot kwa 3.5m, na ameshaanza kununua tofali. I
Umemshauri vizuri, ila umesahau kumpa angalizo kwenye dynamics za biadhara ya boda boda.Ukifanya boda wewe binafsi kwa kujituma sana kwa siku hutakosa elfu 20.
kwa mwezi una laki 6,
kwa mwaka una milioni saba na laki 2.
Hapo umeondoa gharama za mafuta, matengenezo na Chakula.
Tafuta vijiwe vyenye mzunguko mkubwa wa abiria.
andaa kiingilio cha kijiwe kama laki tano hivi
"Kuna dogo namuozesha", "anatafuta mahari" "menunua plot kwa 3.5m", na "ameshaanza kununua tofali". I
Labda ungeanza kuuza vitabuWakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
asante sana kwa kuja ndugu t blj.Umemshauri vizuri, ila umesahau kumpa angalizo kwenye dynamics za biadhara ya boda boda.
Watu wanabadikika sana wanapopata ukwasi! Anaweza kupata kijiwe kizuri na kaingiza zaidi ya 30k kwa siku, lakini kama akijiiingiza kwenye mtego wa wanawake kila siku atakuwa anaanza upya.
Kuna supply kubwa ya papuchi kwenye biashara ya boda boda, inataka mtu awe kauzu kweli kutoboa. Ndo maana boda wengi hawaendelei kimaisha.
"Kuna supply kubwa ya papuchi kwenye biashara ya boda boda",
"Ndo maana boda wengi hawaendelei kimaisha"
Ndo mkataba huo hamna biashara hapoNi ya kwangu sio ya mkataba japo nahitaji nimkabidhi mtu awe anafanya marejesho kwa muda husika then baada ya kumaliza marejesho iwe yake
Lazima uue mtu, vijana wanapitia changamoto sana, anatakiwa by Sept awe na mahari, matayatisho ya sherehe nk sisi tutaongezea patakapopelea.Na bado unakuja ambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani..