uislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  2. A

    Trump Kakimbia Vita

    https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
  3. wolverineGG

    Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  4. Castle_Lite

    Majini na Uislam Kamili - Quran

    Bila shaka hii aya sio ngeni. Quran 46 : 29 - 33 "Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya." "Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
  5. E

    Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

    Dokezo kuhusu Dini ya Uislam Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya kiislam na mbaya hauna uhakika wa chochote mnachosema sasa basi we nyamazenu tuuu msirundike maneno...
  6. Clever505

    Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

    Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam. Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu...
  7. M

    Uislam ndio dini bora

    Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni: Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة) Dhul-Hijjah (ذو الحجة) Muharram (محرم) Rajab...
  8. The Father of All

    Wasiokunywa kwa kisingizio cha uislam hii hapa dozi yenu

    https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k
  9. L

    Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  10. ngara23

    Ni ujinga kuinasibisha hii serikali na uislam

    Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
  11. ELI COHEN

    Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

  12. M

    Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  13. Fortyseven

    Chanzo cha shetwan ( shetani ) ni nini katika uislam?

    Surat Al-Baqarah (2:34): "Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri." Pia inatajwa katika: Surat Al-A'raf (7:11–12) Surat Sad (38:71–74) Surat Al-Hijr (15: 28- 31) Surat Sad (38:71–72): "Mwenyezi...
  14. D

    Ngoja tuone kati ya Mungu wa ukristo na Mungu wa uislam ni Mungu yupi mwenye nguvu.

    Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa. It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee. Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
  15. matunduizi

    Hii nguvu anayoitumia Gwajima kwenye Mambo ya KIKAISALI angeitumia KWA YESU uislam na upagani nchini ungebaki 1%

    Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito. Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza...
  16. M

    Sakata la kudharauliwa na kukashifiwa uislam, waislam kupitia watendaji wa serikali kupitia alama zao za utambulisho; ni ideology warfare

    Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya kumthibitisha Mwalimu kwa kuwa anafuga ndevu nani Mvaa kanzu. Barua ile si tu ilimkashifu Mwalimu bali...
  17. H

    Je kati ya Waafrika wanaofuata dini zao za asili na wanaofuata ukristu na uislam nani WAJINGA?

    Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
  18. M

    Madaraka katika uislam

    Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi: (Sahih Muslim) Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
  19. SankaraBoukaka

    Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  20. The Father of All

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
Back
Top Bottom