Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 18,364
- 35,536
Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo.
Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na mingine. Na inafuatiwa na wimbi la mauaji ya kutumia visu wanayofanyiwa wenyeji na wageni wahamiaji. Police inapambana kuthibiti hali ya mambo lakini inaonekana wenyeji wamejipanga kwa mapambano zaidi

UK riots latest: Thousands take part in anti-racism protests; petrol bomb thrown at mosque in 'racially motivated' incident
Police are on high alert this weekend amid concerns over more disorder breaking out as protests take place across the country. In Northern Ireland, police are investigating a "racially motivated" attack on a mosque.
news.sky.com