Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...