Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema;
- "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa...