uhuru

  1. F

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee ya Uhuru wa Tanganyika

    Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra za muendelezo wa maadhimisho hayo yanayofikia umri mkubwa wa zaidi ya nusu karne. Hii ni bahati...
  2. JamiiForums Tanzania Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
  3. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa wapigania uhuru wanapoingia kwenye masanduku ya marehemu wazee wao

    WATOTO WA WAPIGANIA UHURU WANAPOINGIA KATIKA MASANDUKU YA NYARAKA ZA MAREHEMU WAZEE WAO Nimepata kusema hapa siku chache zilizopita kuwa historia nyingi ya TANU na harakati za kupigania uhuru ipo katika mikono ya watu binafsi. Kwa zaidi ya miaka 20 nilikuwa natafuta picha ya Ismail Bayumi bila...
  5. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma wa Kwanza Aliyezaliwa Siku ya Uhuru Kustaafu Mwaka Huu Desemba

    Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika. Lakini sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwandishi Mwandamizi, Ezekiel Kamwaga na historia ya Uhuru

  7. JamiiForums Tanzania Abbas Max (1918 - 1993): Kumbukumbu za Uhuru 1961

    KUMBUKUMBU ZA UHURU: ABBAS MAX WA IRINGA (1918 - 1993) Abbas Max ana historia ya kusisimua sana kama ilivyo kwa wazalendo wengi waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini kwa bahati mbaya historia imewasahau. John Iliffe mwanahistoria nguli aliyeiokoa historia ya Tanganyika amepata kusema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Maono: Freeman Mbowe na miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika. Mtashangaa!

    Mwaka huu Tanganyika inaazimisha miaka 60 tangu kupata uhuru wake, wapo wanaoawaaminisha wajinga wenzao wasiojuwa historia kwamba ni siku ya Uhuru wa Tanzania bara. Ni kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa. Back to the topic Freeman Mbowe ambaye amezaliwa mwaka 1961 mwaka wa Uhuru na Baba wa...
  9. JamiiForums Tanzania Donald Trump - Truth Social itakuwa fundisho kwa mitandao inayonyima watumiaji uhuru wa kujieleza

    Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika! Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
  10. JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang ni sehemu yenye uhuru na ustawi

    Xinjiang ni mkoa mkubwa zaidi unaojiendesha wa makabila madogo madogo nchini China, na una wakazi zaidi ya milioni 25 wa makabila karibu 50, wakiwemo Wauyghur. Katika miaka ya hivi karibuni, suala la Xinjiang limechukuliwa na baadhi ya nchi za magharibi kama njia ya kupaka matope China. Ili...
  12. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru

    Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Uhuru wa kukusanyika ni upi?

    Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji: Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa mihimili mingine nao yawezekana hawaujui na walipo wanashangaa! Isimfikirishe mtu namna gani kuwa labda...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe lazima afungwe ili Uhuru wa kweli upatikane

    Huu sio wakati wa kumlilia Mbowe Wala sio wakati wa kuwalaani CCM. Ili Uhuru wa bandia wa akina Kingai na Mahita wa kuteka, kutesa na kuua raia wema Kama akina Moses Lijenje na wengineo uondoke ni lazima Mbowe afungwe na sio Mbowe tuu na wale wote wazalendo wa kweli wapite katika tanuru la Moto...
  16. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake watatu

    Wanabodi, Hivi karibuni, Hakimu Mustapha Siyani alitupilia mbali hoja za mawakili wa Freeman Mbowe akisema kwamba maelezo ya washtakiwa wote yaliandikwa na kuwasilishwa mahakamani kwa njia zilizo kidhi matakwa ya sheria. Kwa kuamua hayo, hakimu alijiridhisha kwamba mshtakiwa namba mbili Bw Adam...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwaita viongozi wetu wakuu kuwa ni madhalimu ni kukosa busara, tangu tupate uhuru hakuna Rais aliyetawala kwa Presidential Decrees.

    Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara. Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

    Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale. Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

    Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini sherehe za Uhuru huwa tunaonesha mambo ya kijeshi zaidi badala ya uchumi na uhuru wa kimaendeleo?

    Nimefunguliwa akili na wanaharakati flani wa Iran wakiipa changamoto serikali yao. Wanadai Janga la korona limekwanyua uchumi wa nchi yao lakini katika sherehe za kitaifa wao wanaonyesha mambomu mapya waliyoyabuni badala ya maonyesho ya vile ambavyo serikali imefanya kuwaondoa katika wimbi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…