uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Nape: Tutaongea na Guinness watuweke kwenye rekodi ya dunia kwa kuweka mawasiliano Uhuru Peak

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge sintofahamu ya kujiuzulu Ndugai

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa. "Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Awamu ya Sita imeimarisha Uhuru wa Kujieleza nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  6. JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  7. JamiiForums Tanzania Mshume Kiyate ndani ya Gazeti la Uhuru

    Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini. Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
  8. JamiiForums Tanzania Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

    Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu. Tunaitaka Tanganyika. Tunataka kufuta kasoro za Muungano. Tunataka Rais wetu. Tunataka Bendera yetu. Tunataka...
  11. JamiiForums Tanzania Salamu za Uhuru kutoka kwa Mwalimu Nyerere

    Ndugu wananchi, Naona mwaka huu hamsheherekei Sikukuu ya Uhuru. Si kitu. Mradi tu mkumbuke kwamba mko huru. Kwa sababu mimi na Rashidi na Oscar na Derek na Jamal na Maswanya na wengine wengi tuliwaletea Uhuru, tuliwaongoza katika harakati za kudai Uhuru Kwa hiyo mjihadhari mtu yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  13. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitihada za Uhuru Kenyatta kurejesha amani Congo, ayataka makundi ya kigeni yenye silaha kurudi makwao

    Hotuba yake imenitia moyo. Amenifurahisha alipozitaka nchi majirani kutoitumia ardhi ya Congo kama uwanja wa vita. Kuna mapendekezo mengi ambayo yakifanyiwa kazi amani na ustawi utarejea Congo.
  16. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  20. JamiiForums Tanzania Tulitishwa sana Story ya Mapank ya Samaki na Utawala wa Mkapa. Sasa Tujadili kwa Uhuru

    Nilienda nchi Fulani ulaya miaka kadhaa ilopita nilipata marafiki wawili wanaosoma ujasusi katika nchi ya ulaya. Mmoja alikuwa mjapani mixer na italiono, mwingine Mjerumani mixer na mfaransa. Hawa watu wanaijua Tanganyika, Zanzibar, na Tanzania na matukio yake yote. Walinipa VCD na DVD matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…