CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?.
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano...
Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa TANU Iringa wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961 akimuaga uwanja wa ndege wa Iringa...
Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu.
Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru
Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Waandishi wa habari kote ulimwenguni wanakabiliwa na mashambulizi ambayo hayajawahi kushuhudiwa kutoka kwa serikali, shirika la uangalizi wa vyombo vya habari la Reporters Without Borders (RSF) limeonya.
Katika ripoti yake ya kila mwaka, RSF ilisema mamlaka...
UTANGULIZI
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 109, majaji wote wanateuliwa na Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali na kiongozi mkuu wa chama dola, serikali na Mahakama ni miongoni mwa mihimili mitatu ya serikali bila kulisaghau Bunge, mihimili hii kila mmoja...
Leo Mei 3, 2023 ni siku ya tatu ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani linalofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar, mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi.
VIONGOZI WAWASILI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed...
Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma.
Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na...
Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya.
Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mei 2, 2023 Zanzibar, Kongamano hili linafanyika wenye Ukumbi wa Golden Tulip.
Mjadala unatarajiwa kuanza muda si mrefu kutoka sasa...
BAKARI MACHUMU: MAGAZETI YALIANZA KUWA NA HALI NGUMU HATA KABLA YA...
Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba.
Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake.
Picha hiyo hapo chini ni viongozi wa TANU wakiwa na Mwalimu Nyerere katika miaka ya mwanzo ya uhuru...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
TAMWA WATOA NENO
Baada ya mgeni rasmi kuwasili ukumbini, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Joyce Shebe amemkaribisha na kutoa neno la ukaribisho.
Anasema: Tunafahamu kuwa hali ya uhuru habari wa kujieleza kwa vyombo vya habari nchini umeimarika na tunaona jitihada...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao
Anasema “Dunia yote mashirika...
Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali.
Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi.
Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
TIGO POST PAID:
15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000
Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa
Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi
Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.