uhuru

  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

    [4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana. Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru Watu ni waoga sijapata kuona
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Tanganyika bado hatujapata uhuru, Je tulipataje hiki kinachoitwa uhuru.?

    Pengine hii ni siri ambayo baadhi ya watu hawatopenda kila mtu katika hii nchi aijue, : Kipindi ambacho watanganyika bado tunatawaliwa na mkoloni, Mwalimu akiwa na chama cha kudai uhuru, basi... Kiliitishwa kikao cha Watu wazito wa hii nchi, watu wenye elimu ya faraki kujadili je...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Chadema wanahamasisha Uhuru na Haki ya kupiga kura,CCM wanahamasisha kificho cha wizi kura

    Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu cha uhuru wa mahakama

    Samahani sana. Mwenye kitabu cha UHURU WA MAHAKAMA kilichoandikwa na Jaji mstaafu Samatta naomba anisaidie.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru

    Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Waasisi wa Uhuru waliotuacha kwenye Lindi la Umaskini

    Tulipopata uhuru, matumaini yalikuwa makubwa. Tulidhani uhuru ungeleta maendeleo, uchumi imara, na maisha bora kwa wote. Lakini leo, Afrika bado inakabiliwa na umasikini, madeni, ukosefu wa ajira, na miundombinu duni. waasisi wa uhuru kama Julius Nyerere (Tanzania), Kwame Nkrumah (Ghana), na...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WAAFRIKA kusafisha mabaki ya wazungu na warabu na tamaduni zao ndani ya AFRIKA

    Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele. Mfano mzuri ni huko Afrka Kusini ambako mabaki ya Wazungu wanadai uhuru wao ndani ya Afrika Kusini...
  12. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania ukoloni ndani ya uhuru wa mtanganyika.

    mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uhuru ni muhimu lakini Uhuru wenye Mipaka

    UHURU NI MUHIMU LAKINI UHURU WENYE MIPAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kiumbe kinahitaji UHURU. Zaidi viumbe wenye utashi Uhuru kwao ni Moja ya mambo MUHIMU na ya lazima katika maisha yao. Kwa Sisi Watibeli, Uhuru ni Jambo Pana ambalo ndani yake lazima lisimamiwe na lifafanuliwe...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Magomeni na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/DrvRASg0n_M?si=-WYJZqPRWbtkwjmU
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Fursa, utashi na uhuru wa fedha

    Karibuni Msome kitabu changu kipya: FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA Tambua Siri ya Tabia kuelekea Uhuru wa Kifedha Je, unataka kujua siri ya kufikia uhuru wa kifedha? Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa kina na wa vitendo kuhusu jinsi ya kuchangamkia fursa zilizoko mbele yako na kuimarisha...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waafrika walikurupuka kudai Uhuru

    Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale. Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama tuliendeshwa na mihemko tu kwa yale yaliyokuwa yakitokea nje ya Afrika kwa mataifa ya nje yale...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

    Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil. ======================= Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
Back
Top Bottom