Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika.
Awali, Mdau huyo alidai...
Ndugu zangu JamiiForums Habari zenu! Nimeona chapisho lenu kuhusu uhamisho, limeniumiza sana ndugu zangu.
Kwa nini nimeumia? Napitia changamoto kama hiyo, mimi pia mke wangu ni muajiriwa (Mwalimu), tangu nifunge naye ndoa Mwaka 2017 mpaka leo (Julai 2025) tunakaa mikoa miwili tofauti.
Hili...
Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti.
Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo:
1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani?
2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili?
Natanguliza shukrani.
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo...
TAARIFA KWA UMMA
YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?.
Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto?
Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
Anonymous
Thread
geita
katika
kibali
mfanyakazi
mwaka
uhamisho
wilaya
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI.
Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
Wadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya Elimu(mwalimu).
Nilifanya process zote kuanzia chini, tangu tarehe 7/2/2025, kisha ombi langu likapokelewa...
raisi D.Trump kama alivyoahidi ameanza kuhamishia Wazungu ktk AK kwenda moja kwa moja USA ambapo watapewa ukimbizi na citizenship straight a way na kuwa integrated in the amerikan society.
sababu kuu ya raisi wa USA kufanya hivyo ni know how na ujuzi ambao hawa Christians ktk AK wanao, kuanzia...
Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo?
OR TAMISEMI
Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo...
Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya katika kliniki ya Samia mkoani Morogoro akiwa mgeni rasmi aliwapatia walimu wa baadhi ya wilaya kuzungumza changamoto zao ambapo moja ya walimu hao alieleza juu ya kunyimwa stahiki zake kwa makusudi na Afisa elimu huku afisa elimu naye akapewa...
Salam ndugu zangu wana jamvi
Naomba kuuliza swali jepesi, umewahi kutokewa au kusikia ndugu yako au Jamaa yako mtumishi WA Serikali anapata uhamishi kutoka sehemu moja ama nyingine lakini kashindwa kufanikiwa kuhama kwa sababu ya kutopata barua kutoka kwa mwajiri wake wa sasa??
Kama hujawahi...
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.
Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema ndoa nyingi za watumishi wa umma zinakufa kutokana na wenza kukaa mbalimbali na kwamba wiki ijayo vitatolewa vibali zaidi ya 200 ili wasogezwe na familia zao.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya...
Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 na mwanzoni mwa January 2025 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia zao.
Inasikitisha sana kuona kwamba tuna viongozi ambao hawana huruma na watanzania wenzao.
Suala la uhamisho kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.