Naendelea kuwaamsha walio lala kwa ukelele wenye kukidhi haja.
Siku mbili nyuma nilihudhurisha uzi wenye kichwa au anuani isomekayo "Bahari imechafuka", yakasemwa yaliyosemwa,wengi wakasema nimevuta bangi,wengine nimekula nini ?, waliuliza,yaani wakawa na mshangao na kupuuza ila wapo walio...