ufumbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bronchoscopy MNH: Mashine imeharibika miezi 8, ufumbuzi?

    Habari JF, mashine ya kipimo cha Bronchoscopy haifanyi kazi MNH Mloganzila na Upanga kwa takribani zaidi ya miezi 8 sasa. Wagonjwa wanapata tabu Je swala hili limekosa ufumbuzi? Pia soma ~ Mashine za kipimo cha Bronchoscopy katika hospitali za Muhimbili na Mloganzila zimeharibika kwa takribani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi: Takribani malalamiko ya Viwanja ya Wananchi yamepatiwa ufumbuzi Dodoma

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunataka kero ikifika ofisi ya serikali ipatiwe ufumbuzi, wanaopuuza watatolewa kazini

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  8. JamiiForums Tanzania Bado sakata la TFF, Azam TV na mashabiki halijapata ufumbuzi

    Azam TV walitumia nguvu kubwa Sana kutangaza mechi ya March 8 ila haikupingwa wakala hasara.Ikatangazwa tarehe mpya June 15 akasema isiwe kesi yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakaanza promo tena nayo wamekula nyoya. Kumbuka mashabiki walikata ticket Mechi ya March 8. Mpka leo tunajua...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wakifika kesho wataongea tu,lakini kwa sasa hakuna ufumbuzi kwa hii vita

    Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho. Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao. Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho...
  10. JamiiForums Tanzania Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM. Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
  12. JamiiForums Tanzania volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shamira asikiliza kero za mama ntilie na bodaboda Singida ili kuzipatia ufumbuzi!

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini. Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hili suala la dola kupaa litafutiwe ufumbuzi wa dharura

    Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
  15. JamiiForums Tanzania Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ufumbuzi katika Hili

    Habari wakuu, Nahitaji kuanza ku-import mafuta ya kula kutoka nje, naomba kujua yafuatayo, 1. Document au vibali vinavyohitajika nikienda toa mzigo bandarini? 2. Bandari yenye unafuu wa kuingiza hi bidhaa? 3. Kibali Cha kusajili hii bidhaa ya mafuta TBS ni kiasi(fedha) gani na document zipi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  20. JamiiForums Tanzania Ehud Barak amwambia Netanyahu. Nenda asema muda si rafiki tena kwa Israel kubaki kwenye tope la Gaza

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Baraka amemwambia waziri mkuu wa sasa,Bejamin Netanyahu kuwa kwa jina la Mungu aondoke madarakani. Ehud Barak amesema kwa kuendelea kuwepo madarakani kwa Benjamin Netanyahu basi Israel itaendelea kuzama kwenye tope la Gaza. Akahimiza wakati wa kuondoka ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…