ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dili la kuwa mkimbizi Ufaransa limetiki, muda huu nipo Paris

    Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali burkinafaso Gambia Senegal na nyingine nyingi Afrika Magharibi. Na Mimi nimefikia kwenye sehemu maalumu...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  3. JamiiForums Tanzania Ufaransa haikabiliwi na ugaidi bali inaishi ndani yake

    Miaka 10 iliyopita, dunia ilishuhudia kwa hofu jinsi magaidi wa jihadi walivyowaua waandishi wa habari wa Charlie Hebdo na kuwaua raia katika Bataclan. Ufaransa ilitangaza vita dhidi ya ugaidi. Leo, vita hivyo vinapotezwa, siyo vitani, bali katika madarasa, misikiti, majengo ya makazi, na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ufaransa 'Sebastien Lecornu' ajiuzulu baada ya wiki chache madarakani

    Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Paris yachunguza kifo cha Balozi wa Afrika Kusini Nchini Ufaransa

    Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025. Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
  6. JamiiForums Tanzania Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ufaransa Kujiuzulu baada ya Bunge kupiga Kura ya kutokuwa na Imani naye

    Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194. Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa kiongozi wa Serikali ya mseto.
  9. JamiiForums Tanzania Ufaransa ili kuitambua Palestina yazitaka nchi za kiarabu kuwalaani Hamas, Na kwa ujinga wao watafanya

    Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa waafrkia wenye rangi nyeusi. Sasa waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Marine Le Pen mgombea uraisi nchini Ufaransa akataa kuvaa hijabu nchini Lebanon

    Marine led pen alisitisha mkutano na mufti mkuu wa nchini Lebanon baada ya kukata kujistiri kichwa kwa kuvaa hijabu mwaka 2017. Kipindi icho marine alikuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi nchini ufaransa alikwenda nchini Lebanon kufanya mkutano kwa lengo la kupata kura kutoka kwa raia wenye uraia...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal

    Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya Afrika. SiasaSenegal Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo...
  12. JamiiForums Tanzania Ufaransa yashauri Iran irudi haraka kwenye mazungumzo ya nyuklia kabla haijasambaratishwa zaidi

    By AFPToday, 8:39 pm French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP) Share PARIS, France —...
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  14. JamiiForums Tanzania Kisa cha Lema na Rais Bongo wa Gabon kuwahi kuzuia Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa, na Bongo akaja kufa kabla ya Oliver Ngoma

    Raisi wa Pili wa Gabon raisi Bongo aliwahi zuia Mwanamziki wa Rumba Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa kwa sababu za kisiasa make wakati huo Oliver Ngoma alikuwa maarufu sana kuliko Raisi Bongo na hivyo Raisi kuona kitendo cha Oliver Ngoma kwenda Ufaransa ni kwenda kujiandaa kuja kumuondoa...
  15. JamiiForums Tanzania Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

    Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Côte d'Ivoire Thiam ajiuzulu kufuatia utata wa uraia wa Ufaransa

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Côte d'Ivoire, ambaye amezuiliwa kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba, amesema Jumatatu kuwa anajiuzulu kama kiongozi wa upinzani lakini bado ataongoza kampeni ya kushinda uchaguzi. Ni miezi sita kabla ya uchaguzi wa kumchagua kiongozi mpya wa nchi, kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Tinubu wa Nigeria aelekea Paris, Ufaransa wiki mbili kwaajili ya kutafakari kuhusu uongozi wake

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili...
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufaransa Inamushutumu Kiongozi wa Mrengo Mkali wa kulia Le Pen na Hatia ya Ubadhirifu

    Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016. Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027. Viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…