ufadhili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

    Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo...
  2. JamiiForums Tanzania UDOM na IUCEA zaimarisha ushirikiano katika mpango wa kimkakati wa ufadhili wa masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Scholarship Programme). Ujumbe huo uliongozwa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ghana yakataa Msaada wa Marekani wa dola Milioni 109 za ufadhili wa Afya

    Ghana imejitoa kwenye mazungumzo ya mkataba wa msaada wa miaka mingi kutoka Marekani. Hatua hii imekuja baada ya Washington kudai kupewa ruhusa ya kupata taarifa binafsi za raia wa nchi hiyo, kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi kilichozungumza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sweden na Tanzania kutia saini makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 reli ya Standard Gauge mjini Dodoma, Aprili 28, 2026

    Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya kuendeleza miundombinu endelevu, kuimarisha muunganiko, na kukuza ukuaji wa kiuchumi wa muda mrefu...
  5. JamiiForums Tanzania Netanyahu amekiri kuwapa HAMAS ufadhili wa fedha $1+ billion

    Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha. Katika ripoti hiyo, Netanyahu anakiri kuwa alitoa ufadhili wa kifedha...
  6. JamiiForums Tanzania UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo ya Shahada ya Uzamili kwa Mwaka 2026/2027 Nchini Sweden

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maisha kwenye miradi inayohusu ufadhili wa pesa za wahisani

    Habari zenu Wana Jambi Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka...
  10. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo Saudi Arabia 2025/2026

    SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026 Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
  11. JamiiForums Tanzania MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Bilioni 277 kila mwaka kukabili VVU na Kupunguza utegemezi wa Ufadhili

    Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 277 kila mwaka kwa ajili ya kugharamia huduma mbalimbali za Virusi Vya UKIMWI (VVU) na UKIMWI nchini, ikiwa ni hatua ya kupunguza utegemezi kwa wafadhili wa kimataifa katika mapambano dhidi ya janga hilo Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Agosti 6...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri asema Wanafunzi 𝟭,𝟬𝟱𝟭 kupata ufadhili wa Masomo 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗦𝗖𝗛𝗢𝗟𝗔𝗥𝗦𝗛𝗜𝗣

    Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa mwaka huu wa masomo. Akizungumza Julai 22, 2025, Jijini Dodoma na waandishi wa habari , Waziri wa...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa Embu, Cecily Mbarire amemshutumu Gachagua kufadhili makundi ya vurugu kwenye maandamano ya Gen Z

    Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa mjini Embu na Kiritiri. Mbarire alisema kuwa hatua hiyo ilikuwa njama ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Misaada wa Umoja wa Mataifa Wapunguzwa Kufuatia Kupungua kwa Ufadhili

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupunguza kwa kiwango kikubwa shughuli zake za kibinadamu duniani, na kulaumu kile ilichokitaja kuwa "upungufu mkubwa zaidi wa ufadhili kuwahi kutokea" kwa hatua yake ya kupunguza kwa kiasi kikubwa matarajio ya misaada. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Ofisi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ufadhili ya Masomoa ya Uzamivu.

    Nataka niende kusoma PhD; sina kiwango cha pesa cha kukikidhi.Ni nchi gani za Ulaya na Asia zina ufadhilli wa urahisi kweny course hasa za kilimo, chakula na akili mnemba?
  17. JamiiForums Tanzania IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake. Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ufadhili mpya wa Simba, Je nani anahusika kwa mlango wa nyuma?

    Simba imepata ufadhili mkubwa mno haijawahi tokea Tanzania. Ikumbukwe Rais Samia kipindi cha nyuma kidogo aliahidi kuzitafutia Simba na Yanga ufadhili. Je, hii inaweza kuwa ndo utekelezaji wenyewe wa ahadi. Huyo mzabuni aliyeshinda ni geresha tu kuna watu wako nyuma,tutajua zaidi. Ngoja...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…