udhalilishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

    Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
  2. Mindyou

    Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

    Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali. Agosti 19 mwaka...
  3. T

    Udhalilishaji wa ngono utaisha lini

    Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili wajuwa tatizo ni nini bado wana majibu yale wanawake hawajistri,mporomoko wa maadili...
  4. funaku

    Huu mwenendo wa kutumia mahakama kudai watu mabilioni ni dhihaka dhidi ya chombo hiki-TUTAFAKARI!

    Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo. Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha kisiasa au chombo cha kukwepa uwajibikaji. Hivi sasa imekuwa ni fasheni kuitumia mahakama kudai fedha...
  5. Son of Gamba

    Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
  6. Mshenyentaji

    Serbia anachomfanya USA kwenye basketball ni udhalilishaji wa kijinsia

    Mpaka sasa Serbia tunaomgoza kwa advantage ya vikapu 14 Linakufa jitu huku
  7. Abdul Said Naumanga

    TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo hivyo na kundi la wanaume zaidi ya wanne. TLS imelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria...
  8. Smt016

    Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri

    Nimeona clip, mkuu wa wilaya wa Ubungo anavyoangaika na vitu vya ovyo utafikiri wilaya yake ya Ubungo wananchi wake wanatatuliwa na matatizo lukuki zinazowakabili. Niliwahi kwenda sehemu moja inaitwa Kisopwa kupitia barabara ya Kifuru kwenda hadi Vibula aisee barabara ni mbovu sana unaweza sema...
  9. Small letter

    IGP Wambura ni kweli jeshi lako limeshindwa kuwakamata hawa watu kwa Utapeli na udhalilishaji wanaoufanya kwa Watanzania?

    Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi mliopewa dhamana ya ulinzi wao na mali zao mkae kimya? Mfano, hawa wanajiita Mkopo Fasta walimpigia...
  10. P

    Serikali imchukulie hatua Baba Levo kwa Kuwadhalilisha Walimu

    Wasalamu wakuu. Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania. Maneno aliyozungumza kupitia chombo cha habari achofanyia kazi si maneno mazuri hata kama yana kweli au si kweli kwani hayana...
  11. Cute Wife

    Wakili huyu angekuwa ndio anahojiwa na Makonda angeloa kejeri na udhalilishaji!

    Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila...
  12. Cute Wife

    Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

    Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba radhi kwa umma, na kuchukua hatua za kinidhamu kama kanuni za maadili zinavyowaelekeza kulingana na...
  13. Erythrocyte

    Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
  14. B

    Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

    Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido. Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na...
  15. F

    Makonda aondolewe kwa udhalilishaji wa wanawake. Amewadhalilisha wanawake na rais wetu pia

    Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki. Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani. Kitendo hicho...
  16. Cute Wife

    Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
  17. BARD AI

    LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na...
  18. BARD AI

    Diddy atuhumiwa na Mwanamke mwingine kwa udhalilishaji wa Kingono

    Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia. Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo kufuatia hafla ya Wiki ya Mitindo ya Wanaume mnamo 2003. kulingana na hati za mahakama...
  19. mdukuzi

    Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

    Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi Wanaume wapole...
  20. Pascal Mayalla

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
Back
Top Bottom