Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa
Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise...