Habari wadau!!
Nimeona leo tujadili hili suala ambalo kadri siku zinavyozidi linazidi kuota mizizi, kumekua na udanganyifu mkubwa sana katika hizi Hospitali binafsi hasa zile zinajinasibu kutoa huduma za kibingwa, ukienda hizo hospitali mfano Nkinga referral hospital ya Igunga, Malolo Hospital...