udalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  2. Pdidy

    Natafuta fundi wa magrill uwe karibu na maeneo ya Mbezi kwa Mathias

    kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii Piga kwenye hii namba 0792797806 Robinson Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias akuelekeze jinso ya kufika
  3. A

    Wadau naitaji Toyota Vitz Old mwenye nayo isiyo na udalali number D

    Habari Wadau Naitaji Toyota Vitz Old Mwenye Nayo Isiyo Na Udalali Number D 0674353374
  4. K

    G-55 Hawana hoja zaidi ya udalali

    Tatizo la G-55 ni uchumi wao sio kutukanwa wala kunyanyashwa. Mbona hayo matusi hatujayaona ??. No reform no election Wake wa viongozi wawili ni Covid 19. Tujiulize tu je nani ali sign kwa niaba ya Mnyika kuweka wake zao bungeni? Walikuwa wanaibia na kufanya ubabe wa kuwaweka wawapendao kwenye...
  5. G Sam

    Kwahiyo lengo la "No Reforms, No election" kwa mujibu wa G-55 ilikuwa ni kuhamasisha tu? Huo ndiyo ulikuwa udalali wa kisiasa sasa

    Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu? Tunaposema udalali wa kisiasa ni pamoja na ubabaishaji kama huo. Ndiyo maana mlilia yalipotangazwa matokeo...
  6. CreatureKH

    Nauza kiwanja changu hakina udalali

    Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site Futi 48 kwa 54 Bei mil.3 😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
  7. funaku

    Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

    Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
  8. Knock life

    Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

    Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali. Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema. Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali . Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali...
  9. Dalali wa Mjini

    Udalali nayo ni ofisi pia

    Habari ndugu zangu. Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA. Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali) Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena...
  10. Paspii0

    Masoko ya udalali yanavyoingiza watu katika biashara yenye mazungumzo yanayojumuisha ulaghai

    Dalali wengi katika biashara ya ardhi, nyumba, mashamba, na mazao hutumia udanganyifu na ulaghai ili kuvuta wateja. Wanaahidi mali nzuri na fursa za haraka za utajiri, lakini mara nyingi wanajificha nyuma ya picha za uwongo na mikataba isiyo halali. Wateja wanapokuwa na tamaa ya mafanikio ya...
  11. GemMaster II

    Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  12. G

    Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  13. Dr leader

    Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka

    Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka hasa mchele kwenye maneno husika kama mbeya, kahama, mwanza. Kipi nianze nacho kwa mgeni wa maneneo hayo
  14. G

    Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  15. M

    Udalali wa kutisha wa ardhi ya nchi, Profesa Shivji aonya kuwa watawala hawaoni mbali, wanaangalia pafupi sana

    Professa wa sheria Issa Shivji wa Tanzania anayeheshimiwa duniani na aliyefundisha na kutafiti na kuandika vitabu vingi vya masuala ya ardhi anawakumbusha Watanzania: nchi inauzwa kwa kasi na "Wamawakala wapya wa mabeberu." ambao anasema sifa zao ni "Watawala hawaoni mbali. Siasa zao ni za...
  16. E

    Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

    Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan! Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji...
  17. Jack Daniel

    Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka...
  18. Mhafidhina07

    Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

    Assalam Alaykum! Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
  19. Ricky Blair

    Udalali stendi za mabasi too much

    Ifike muda udikteta tu uje na kuwaondoa hawa madalali kwa nguvu hata km damu ikimwagika coz imezidi. Mtu hata raha huna ni harassment daily tu hata uwe na tiketi yako au la kwenda mikoani. Na pia ifike muda sio kila basi lipewe leseni ya kusafiri km halikidhi hadhi. Unakuta kampuni km 100 98...
  20. R

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
Back
Top Bottom