tunaendelea kutoka thread namba 2.
Pesa ni mfano mmojawapo mzuri wa nadhaharia inayoitwa “Tinkerbell effect”. Ambayo inajaribu kuelezea kwamba baadhi ya vitu vipo kwa sababu tu ya watu kuamini vitu hivyo. Watu wengi wanavyozidi kuamini kuwa pesa ina thamani sana na hakuna maisha bila pesa basi...
Kwa wingi wa changamoto hizo na kuendelea kukua kwa kasi kwa hizo changamoto bila shaka lazima kutakuwa na sehemu moja ambayo ndio mzizi mkuu wa matatizo mengine yote.
Kuna usemi usemao, “Kama una changamoto nyingi zinakuandama kwa wakati mmoja, tuliza akili yako vizuri, kwani suluhisho la...
Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake.
Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza Elimu ya msingi na sekondari na kuelekea kuwa na wahitimu wengi wanamaliza na taifa kushindwa...
Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza familia jambo ambalo ni yofauti na sasa.
Kutokana na mabadiliko ya kisiasa kiuchimi na kiutamaduni...
(Pichani ni mwana anga Wa NASA)
Utangulizi
maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya.
Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia.
Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:-
Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi...
Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti moto na kuutumia kupikia na kisha kwenye shughuli nyingine. Alipoanza kupika, ndipo mabadiliko makubwa...
Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa.
Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi.
Chanzo chake
Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha.
Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji.
Lakini serikali...
Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo.
Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari za vita ya Urusi na Ukraine. Kiasi cha Dola za Marekani Milioni 151.7 kitatolewa mara moja.
Taarifa...
Habari, ndugu jamaa na marafiki kwa jina naitwa Moris, nilizaliwa mkoa wa mara nilisoma na kumaliza masomo ya sekondari na kufaulu vizuri mkoani mara.
Baada ya kumaliza masomo ya sekondari nili jiusisha na kazi ya ufundi umeme wa majumbani, ambapo kazi hii hapo awali alikuwa akifanya baba...
Wadau kwema? Kumekuwa na miito ya baadhi ya watu wakitaka serikali izuie watu kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na tatizo la bei ya chakula kupanda.
Sina uhakika sana kama hilo litachangia kushusha bei ya vyakula likifanyika sasa hivi, ila nina uhakika litarudisha nyuma sekta ya kilimo...
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.
Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...