uchi

Uchi is a contemporary Japanese sushi restaurant located in Austin, Texas which opened in 2003. The Japanese word "Uchi" translates to "house" in English, and the 2,700-square-foot (250 m2) space is a refurbished home. Owner and chef Tyson Cole's menu consists of hot and cool tastings, sushi and sashimi, makimono, yakimono and tempura, and a changing omakase based on seasonal items. In 2011, Cole won the “Best Chef, Southwest” award from the James Beard Foundation.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  2. JamiiForums Tanzania Niko uchi kwenye masuala ya laptop

    HABARI Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia nigeni niokoeni nisiende kupigwa na kitu kizito
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kumsitiri mfalme, wenye nia njema na mapenzi ya kweli watamwambia kuwa "Mfalme uko uchi"

    Akatokea mtoto akawashangaa watu wanasema Mfalme amevaa nguo nzuri, wakati Mfalme yuko uchi wa mnyama. Badala ya kumshukuru mtoto kuwa kaacha unafiki na kusema ukweli wa kumsitiri mfalme, wanampiga mawe kuwa kamuaibisha Mfalme. Tatizo: TUMEZOEA KUMWONA RAIS KAMA MUNGU, AKITOKEA MTU AKASEMA...
  4. JamiiForums Tanzania MoU zote 30 zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi Watanganyika wazisome,tusije kulala uchi kwa Mwarabu.

    Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
  5. JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai. Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk. Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi...
  6. JamiiForums Tanzania Video kwenye mabasi na maadili/mabusu/nusu uchi

    Tabia ya kuweka picha za video katika mabasi wakati wa safari hukusudia kupunguza uchovu wa safari. Katika basi kuna watu wa dini, umri, rika na kabila tofauti. Aidha inaweza kutokea kukawa na mtu anasafiri na wakwe zake ama viongozi wa kidini. Kumbe video zinazowekwa ni muhimu kuzingatia...
  7. JamiiForums Tanzania Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Hellow Africa, Kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu. Sinza nowadays unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
  11. JamiiForums Tanzania Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Chama pinzani kuongoza Tanzania labda mkazikir uchi sio kwa mjinga mnaoufanya ...

    Sorry... headline isomeke hivi Chama cha chadema kuongoza Tanzania labda mkazikiri uchi sio kwa ujinga mnaoufanyaga .. 📌 Nishawai kufanya kampeni za mbunge fulani (Wilaya ya muleba) Toka Chadema kelele zilikuwa nyingi na ushindi ulikuwa mkononi kabisa chadema kuchukua kiti cha ubunge jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Njombe: Akutwa akiwa uchi kanisani

    Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe huku sababu zikiwa bado hazijajulikana. Katibu wa Kanisa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga isajiliwe kama kikundi cha kigodoro wacheza uchi

    Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo. Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu. Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

    Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili. Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  20. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuweka miziki yenye video za nusu uchi kwenye usafiri wa umma ikome

    Shalooom! Wakuu, nilisafiri kwa basi fulani kuelekea mkoani Mtwara ila nilijiskia vibaya sana kuona kila muziki unaochezeshwa kwenye luninga ya gari unaonesha watu walio nusu uchi. Mbaya zaidi nilikuwa na mtoto wa sister naye macho yake yalikuwa yanakodolea kila kinachoendelea. Moyoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…