uchawi

  1. JamiiForums Tanzania Ungekuwa mchawi ungechagua kipi?

    Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi: MOJA Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune PILI Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila...
  2. JamiiForums Tanzania Ya Chid Benz, Tuhuma za Uchawi na marehemu Mzee Issa Ibn Sued

    Stay tuned. The whole story will come to you soon after " Aston Villa Vs Leicester City". Amkeni! Amkeni! Amkeni! Tumtazame Mbwana Samatta akifanya vitu vyake ndani ya Premier League. Halla Aston Villa
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha beef kati ya Mr. Blue na Nyandu Tozi ni uchawi (Halal Badr ya Kihindi)

    Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi. Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua mwenyewe alimsafiria Blue kwa waganga kwa lengo la kumsomea Halalu Badr maalumu ijulakanayo kama...
  4. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu India kufundisha madaktari masuala ya uchawi

    Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona. kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari. Na pia kozi hiyo itakua...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini uganga na uchawi wake siku hizi hauna nguvu kama.ilivyo kuwa zamani.

    Kwenye kamusi yangu, neno mganga linatokana na neno "kuganga" yaani.kubahatisha..Kwa hiyo mganga NI mtu.anae bahatisha.bahatisha tu yani Hana uhakika na.kile anacho kifanya. So unapokuwa na tatizo serious halafu ukaenda kwa.mganga ili akusaidie Basi jua unapeleka shida yako kwa.mtu ambae Hana...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi kutoka kwa mmoja wa wanaKamati ya Ufundi/ Uchawi wa ''Jangwani FC'' zinasema ya hivi

    Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu hakutaka kukubaliana na huo ''Upopoma'' na badala yake ''akawaadhibu'' sasa kwa kufungwa. Kazi ipo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

    Nilika naangalia kwenye youtube nikakutana na Video ambayo imegishangaza sana nikaona basi nishirikishe wana JF na kusikia maoni yao Na video yenyewe hii hapa Je? kuna nguvu yoyote ndani ya jitihada Zao?
  8. JamiiForums Tanzania Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo. Walikuwa wakipewa kibali na mwl mkuu/mwl wa michezo pamoja na kupewa darasa la kufanyia mazingambwe yao kama ukumbi. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…