Tetesi kutoka kwa mmoja wa wanaKamati ya Ufundi/ Uchawi wa ''Jangwani FC'' zinasema ya hivi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,790
Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu hakutaka kukubaliana na huo ''Upopoma'' na badala yake ''akawaadhibu'' sasa kwa kufungwa.

Kazi ipo hakyanani!
 
Mh ,ushabiki mwingine huu! Mimi jana nimecheka chinichini tu ili kulinda uzalendo!
 
Watu kama nyinyi ndio huwa mna mawazo mgando sana. Nyie ndio ndugu zenu wakianza kufanikiwa kimaisha katika ukoo asiugue, kupata ajali au kufa mtu maana mtasema ni kafara, upuuzi mtupu.
 
Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu hakutaka kukubaliana na huo ''Upopoma'' na badala yake ''akawaadhibu'' sasa kwa kufungwa.

Kazi ipo hakyanani!
Leo umeandika upuuzi ,sijui umekubwa na nini?
 
Watu kama nyinyi ndio huwa mna mawazo mgando sana. Nyie ndio ndugu zenu wakianza kufanikiwa kimaisha katika ukoo asiugue, kupata ajali au kufa mtu maana mtasema ni kafara, upuuzi mtupu.
Achana naye huyo mawazo ya kimasikini masikin utayajua tuu
 
Back
Top Bottom