Tetesi: Chanzo cha beef kati ya Mr. Blue na Nyandu Tozi ni uchawi (Halal Badr ya Kihindi)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,128
2,000
Tetesi ambazo zimeenea mitaa ya Kinondoni na vitongoji vyake ni kwamba chanzo cha beef Kati ya Mr. Blue na Dogo Hamidu alias Nyandu Toz ni uchawi.

Inasemekana Nyandu Toz kwa sababu anazo zijua mwenyewe alimsafiria Blue kwa waganga kwa lengo la kumsomea Halalu Badr maalumu ijulakanayo kama Halalu Badri ya Kihindi , unaweza kutamka Alubadiri ya Kihindi.

Alubadiri ya Kihindi ni maarufu Sana mitaa ya Kino pamoja na Tanga Mjini.

Hii ni Aina ya Alubadiri ambayo lengo lake ni kumroga mtu alie kusudiwa Kwa lengo la kumfanya atopee kwenye uraibu wa madawa ya kulevya huku tazamio kuu likiwa ni kumfanya victim akutwe na umauti kupitia uraibu wa dawa za kulevya.

Inadaiwa mitaa ya Kino, Alubadiri ya Nyandu Toz Kwa Mr. Blue ilijibu na Mr. Blue kweli alianza kutumia unga.

Kabla Hali haijawa mbaya Sana, mama.mdogo wa Mr. Blue Kwa kushirikiana na mke wa Blue pamoja na ndugu wa mke wa Blue waishio Dubenga, walimchukua Kijana wao na kuanza kumuhangaikia na mwisho wa siku Mwenyezi Mungu akamfanyia wepesi Kijana Heri Samir na mpaka wakati huu Blue amerudi katika Hali yake ya kawaida.

Inasemekana baada ya mambo haya kutokea, urafiki kati ya blue na Nyandu Toz ambao walikuwa kama.ndugu kabisa umekufa huku chanzo kikitwaja kuwa uchawi. Hata familia za wawili hao inadaiwa hazina mahusiano mazuri tena kama ilivyo kuwa hapo awali.

# Tetesi hizi zimeenea Kinondoni Kwa Muda mrefu Sana. Watu was media please nendeni mka mhoji Nyandu Toz kuhusu suala hili

Pia mumuhoji Mr. Blue pamoja na wakaazi mbalimbali wa Kinondoni. Almost every body in Kino know about this.

# Issue is not whether or not beef ya Blue na Nyandu Toz chanzo chake ni uchawi or Imani za kishirikiana

# The issue is whether ramli ya Mganga alie waambia familia ya Blue kwamba mwanao karogwa na Nyandu Toz, ilikuwa sahihi au sio sahihi.

# Familia nyingi barani Afrika zimetengana na ndugu kuuana Kwa sababu ya Imani za kishirikiana.

# Millard Ayo
# Sudy Brown
# Sam Misago.
# Clouds Media
# Wasafi Media
#Eatv
#Global TV online and all other online Tvs.

Please do the needful
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,128
2,000
Kwa vile media zetu zinapenda ujinga basi zitapeleka camera na vinasa sauti.
Mkuu media zingekuwa kila siku zinaandika habari serious kama mradi wa uchimbaji wa madini ya uranium, katiba ya warioba etc sasa hivi ungekuwa umekufa Kwa msongo wa mawazo Kwa sababu sio nature ya mwanadamu akili yake kupokea habari serious wakati wote.

Usidharau media wala habari kama.hizi coz mchango wake katika maisha yako ni mkubwa mno
 

Torch

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
1,136
2,000
Kesho nikienda kijiwe cha preza pale kimanga nitamuuliza maana ni member mwezetu hakosi pale.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,128
2,000
Eti mtu arogwe ili abobee kwenye uraibu wa madawa ya kulevya,kadanganyeni huko huko kinondoni kwenu
Ukiona hivyo hujui uzi ulikuwa haukuhusu wewe.

Anarogwa MTU anatiwa wazimu anakwenda kuchukua anajinyonga, au anakunywa sumu itakuwa dawa za kulevya ambazo ni sumu Tu kama sumu zingine
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,495
2,000
Ukiona hivyo hujui uzi ulikuwa haukuhusu wewe.

Anarogwa MTU anatiwa wazimu anakwenda kuchukua anajinyonga, au anakunywa sumu itakuwa dawa za kulevya ambazo ni sumu Tu kama sumu zingine
Hakuna kurogwa kwa aina hiyo mkuu,huyo alijiroga mwenyewe kwa kutumia hiyo midude,kashtuka kaacha anamsingizia nyandu,na hata waganga lazima wamuaminishe hivyo ili aendelee kuwa mteja wao wapige pesa
 

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,128
2,000
Hakuna kurogwa kwa aina hiyo mkuu,huyo alijiroga mwenyewe kwa kutumia hiyo midude,kashtuka kaacha anamsingizia nyandu,na hata waganga lazima wamuaminishe hivyo ili aendelee kuwa mteja wao wapige pesa
Kumbe kupo kurogwa Kwa Aina gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom