Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

Nov 14, 2018
30
23
Nilika naangalia kwenye youtube nikakutana na Video ambayo imegishangaza sana nikaona basi nishirikishe wana JF na kusikia maoni yao
Na video yenyewe hii hapa
Je? kuna nguvu yoyote ndani ya jitihada Zao?
 
Mamo ya Mobutu seseseko Kuku wa Zebang'a.

Wachawi wa congo waiombea nchi yao, Mshana Jr wachawi huwa nao wanafanya maombi.???
Maombi ya namna hiyo si lelemama kwakuwa kafara lake si la kitoto.... Na linaenda kupambana na roho maelfu kwa maelfu zinazounga mkono kila aina ya ubaya

Jr
 
Back
Top Bottom