Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia
KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake
Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mshika dini
Nimesoma sana dini yangu na dini nyinginezo, zinazomjua Mungu mmoja na zinazoabudu miungu.. Uchawi ama kwa ubaya ama kwa uzuri umetajwa kwenye kila dini niliyosoma
Dini kwenye uchawi na ushirikina imetajwa na kuhusishwa sana! Sasa hebu tuone...
Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi
Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana
Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo...
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI
Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.
Zingatia mambo yafuatayo :
a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.
b. Ili uchukie lazima uwe...
Mfano kuna kipindi rafiki yangu alikuwa ananiambia wachawi wanakuja kwake usiku kuna mapaka yanalia, kumbe yeye hakuwa anajua paka wakiwa kipindi cha joto ndio tabia yao
Jirani alikuwa analalamika kuna kitu kinakwangua nyuma ya ukuta usiku, baada ya uchunguzi tukagundua ni paka alikuwa ananoa...
Rejea title, rejelea jukwaa.
Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli.
Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri tumezidi ufinyangu na ubazazi. Na baadhi ya ndugu zangu hasa wa kusini kule tumbunguze mitishamba na...
Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
Acha uvivu, acha ushirikina.
Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto.
Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika.
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus
Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu
akaeema naona unarejea nkamjibu ndio
He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina
Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii
Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima.
ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii.
Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria.
Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama.
Joshua...
Habari zenu ndugu zanguni, Sasa wakuu wale walio ishi Musoma mjini mkoa wa Mara, Kuna night club ILIKUA inaitwa metro, sa nimeingia na mwanangu, mmoja wakuitwa bivunguye, tukawa tumekaa mahala nikashangaa, mademu wanafata mzee mmoja anawapa maelekezo wanasepa mara wanarudi tena,
Sasa kwa SABABU...
Habari zenu Wana-jamiiforum?
Moja kwa moja kwenye mada, kuna minong'ono mbalimbali kuwa kuna nguvu fulani fulani zinazoweza kubadilisha hali ya kitu, kuleta maafa, kuleta bahati, au kuamua muafaka wa maisha ya wanadamu.
Binafsi mpaka nafikia huu sijawahi kushuhudia nguvu hizo.
Sasa naomba...
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.