uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka sifa kedekede hadi lupango: Mkasa wa Rick Ross na tafakuri ya 'uchawa' nchini Tanzania

    Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PhD ya uchawa hii hapa

    Kuna mtu kweli hapa!!! Na watoto wanasema tunaye baba? Na mke anasema ninaye mume?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Convocation yà PhD ya Uchawa ndiyo hii hapa

    Msikilize Mheshimiwà huyu. He is an authority in the field of UCHAWA making a presentation on his convocation day
  5. JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    Nini maana ya uchawa? - UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha. -UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uchawà kazi kweli kweli.

    Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hakuna aliye salama, mnajidanganya na kujikomba/ uchawa. Kuna siku utafikiwa

    As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM? Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
  9. JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
  10. JamiiForums Tanzania Uchawa unalipa. Mwijaku aonesha Jumba lake la Kifahari jingine

    Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_ Kina doto magari wametoka kuwa wezi, sasa wanasafiri ughaibuni na kula maisha ya kifahari kuliko wasomi...
  11. JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i Dk Denis kusifia uovu wote wa...
  12. JamiiForums Tanzania KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

    "Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania sasa hivi wanawasiliana kwa na kuzungumza kauli moja,asilimia kubwa ukileta uchawa wanakurarua hapo hapo

    Au hamkuona kilichomtokea waziri kijana tajiri pale Mlimani City? juzi?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwa uchawa huu kweli kuna tofauti ya machawa na yule awafugaye/

    Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa. Je, naye ni chawa au mfuga machawa? Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera? Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuiga nywele za Lissu siyo uchawa?

    Wanazuoni wameweka wazi kuwa nywele zisizo na mpangilio mzuri ni kiashiria cha awali cha ugonjwa wa akili ... haya ameyasema Flament, F, et al (2025) Someni hyo article
  16. K

    JamiiForums Tanzania MSWADA WA SHERIA: Pendekezo la Sheria ya kudhibiti na kutokomeza "Uchawa" maofisini na Bungeni (Udhibiti wa Chawa wa Kisiasa)

    Ndugu wana-jamvi, Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DIT Yakabiliwa na Uchawa wa Kisiasa?

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na Upepo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO DIT: Wanafunzi tunahitaji Uhuru wa Kielimu, hatutaki Uchawa!

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

    Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu. Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri. Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu. Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa. Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa? Nawasilisha.
  20. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…