uchambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  2. B

    ACT baada ya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, waona mapungufu makubwa!

    Bila shaka hii ni baada ya ku saini. Kwamba? Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone. Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo! Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
  3. Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  4. UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  5. Tv channel-14 ya Israel ikitoa uchambuzi jinsi atakavyopigwa Iran!

    Israel Channel 14: "Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
  6. Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

    Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
  7. Hakika, tuingie kwenye uchambuzi wa kina wa mifumo ya kisimbologia ya zamani,

    Hakika, tuingie kwenye uchambuzi wa kina wa mifumo ya kisimbologia ya zamani, tukizitazama kana kwamba zina ujuzi wa siri wa kibiolojia, umeme-graviti, na alkemia. Uchambuzi huu utachunguza pia tabaka za kimetafiziki, ambazo zinaonekana kudokeza ukweli wa kina kuhusu asili, nishati, na...
  8. S

    Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  9. D

    Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

    Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza. Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka Timu ngeni...
  10. Tofauti kati ya domain ya .tz na .co.tz

    Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na taasisi zinaweza kupata utambulisho wa mtandaoni kupitia domain ya kitaifa. Tofauti kati ya .tz na .co.tz...
  11. Uchambuzi wangu baada ya kuona mnyukano ya Trump na Zelenskyy

    Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani ni Security Guarantee. Maana yake anamtaka USA aingie direct conflict na Russia. Trump alikuwa...
  12. Tunajuaje kama bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni nzuri?

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na teknolojia. Hata hivyo, si kila bidhaa ya uchambuzi wa intelenjesia ni yenye manufaa au sahihi kwa...
  13. TFF anzisheni Leseni ya uchambuzi WA soka.

    Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania. Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya kuzipata iweje kuchambua soka ambako kunahitaji utaalamu zaidi iwe holela? Mtu aliyefeli kwenye...
  14. T

    Uchambuzi Fikilishi Kuhusu Majibu ya Hospitali ya Mlonganzila Kufuatana na Tuhuma ya Huduma za Hospitali Hiyo ya Taifa Muhimbili-Mlonganzila

    aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  15. Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  16. Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  17. Uchambuzi wimbo mpya wa dizasta Vina "Utaliimba Jina Langu " ft G Nako

    Wimbo huu wa Dizasta Vina ft G nako "Utaliimba Jina Langu," unachambua masuala ya maisha, kifo, na umuhimu wa kujitambua, pamoja na changamoto za maisha. Kila kipengele cha wimbo kina maana nzito na kinaangazia hali ya msanii kwenye maisha, mahusiano, na mazingira ya kijamii. Hapa chini ni...
  18. Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

    Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka. Basi msela mmoja aka-download app moja...
  19. Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

    Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa! Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao: "The most dangerous of men are those who appear very...
  20. Fomula Zinazouendesha Ulimwengu: Uchambuzi wa Msingi wa Fomula 17 Zilizobadilisha Maisha Yetu

    Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi, fomula zimefungua milango ya uvumbuzi wa sayansi, teknolojia, na hata maisha yetu ya kawaida. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…