uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. ngara23

    PreGE2025 Rais Samia atakuwa mtendaji mzuri zaidi akishinda uchaguzi 2025

    Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu Baada ya...
  2. Mindyou

    Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  3. Melubo Letema

    Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  4. N

    LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  5. M

    PreGE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

    Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama...
  6. Akilindogosana

    Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  8. Poppy Hatonn

    LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea. Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho. Kama lipo tatizo lolote katika Uchaguzi huu,basi CCM inaweza kufanya internal review. CCM inaweza kujipeleleza Wapinzani...
  9. N

    PreGE2025 Sababu 100 za kumchagua Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako. 1. Ana uzoefu katika uongozi ndani ya chama na serikalini I.e uzoefu wa zaidi ya miaka 30. 2. Ana...
  10. Burure

    Kukamatwa na kupatikana kwa Nondo inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za mitaa kurudiwa?

    Je,hili sakata la kada wa ACT wazalendo (Mwenyekiti wa vijana) kukamatwa na kupatikana ndani ya siku moja inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za mitaa kurudiwa? Katika sakati hili tumeona Mheshimiwa zitto kabwe akitoa taarifa mbalimbali kuhusu...
  11. T

    Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

    Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala. Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
  12. Pascal Mayalla

    Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  13. ngara23

    Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

    Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  15. Allen Kilewella

    Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  16. J

    Kwanini Serikali haijatoa rambirambi kwa wanachadema waliowawa ktk ghasia za Uchaguzi Dsm, Singida, na Songwe?

    ..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao? https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
  17. Mshana Jr

    Baada ya kufanikiwa kuharibu uchaguzi sasa wanataka kuifarakanisha CHADEMA

    Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja kuna kivuli kinawatisha sana na ndicho kinachowafanya watende mambo ya kikatili sana Uchaguzi mkuu ni miezi 12 ijayo...
  18. S

    LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024? Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
  19. The Palm Beach

    LGE2024 Video: Huu haukuwa uchaguzi bali hii ilikuwa operesheni nyakua madaraka

    Video Courtesy: SK Media Online TV ➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini huu haustahili kuitwa uchaguzi bali "operesheni nyakua madaraka" ➡ Huu haukuwa uchaguzi bali...
  20. K

    LGE2024 Tangu nizaliwe sijaona uchaguzi wa serikali za mitaa uliogubikwa na aibu kubwa kama huu wa mwaka 2024

    Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu. Wagombea wanapigwa risasi, wengine wanakatwa mapanga ili Chama fulani kitimize malengo yake. Hii ni AIBU kubwa wakati tuna...
Back
Top Bottom