uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Victor Mlaki

    Kila kitu kilichopo mbele yako ni chaguo : Uchaguzi ni wako.

    Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo. Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako. Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka. Taratibu tu mada itaeleweka.
  2. Mshana Jr

    GE2025 Nini hatima ya Tanganyika baada ya 2025 kama uchaguzi utafanyika?

    Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za...
  3. Dr Adam Francis

    GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

    April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa...
  4. Dr Akili

    Ndoto: Tumjamaa tumefanikiwa kusimamisha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo cha uchaguzi aliwasha ile mbaya

    Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani. Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
  5. The Burning Spear

    GE2025 Hizi hapa dhambi za uchaguzi ziepuke, utakufa vibaya

    GT. Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
  6. R

    GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
  7. R

    Kwahiyo Zito na ACT kushinikiza kubadili sheria na kanuni za uchaguzi kwao siyo issue, issue ni kulinda kura?

    Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  9. 2070

    EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

    Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki...
  10. kalisheshe

    Msichokijua kuhusu uchaguzi na ushindi wa Chama Cha Mapinduzi CCM

    Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni. Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu Ukweli no 1. CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha Raisi, kura nyingi wanazipata kwa jamii ziishizo vijijini Sababu Katika utafutaji wangu...
  11. A

    GE2025 Kinachofanya Chama kiwe Chama Tawala au Chama Kikuu cha Upinzani ni Uchaguzi

    Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita. Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo. Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama...
  12. Youbettersleep

    GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

    Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu? Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko.... NASOMA COMMENT
  13. Gabeji

    Chadema mkishinda uchaguzi ,watumishi wa umma waliostafu, wasirudishwe kazini tena!

    Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini. Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa...
  14. JanguKamaJangu

    GE2025 Mkuu wa TAKUKURU - Iramba: Takrima za watiania ya kugombea katika Uchaguzi ni sawa na Rushwa

    “…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
  15. JanguKamaJangu

    GE2025 Dkt. Stergomena Tax aonya viashiria vya kuvuruga amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na makundi au watu wenye nia ovu na Nchi ya Tanzania, watakaotaka kuutumia mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa...
  16. The Zanzibar Echo

    Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Shangwe Ayo: Uchaguzi wa 2025 ni mapambano ya kuikomboa Demokrasia

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hautakuwa wa kawaida bali utakuwa uwanja wa mapambano ya kuikomboa demokrasia ya Tanzania, ambayo kimeeleza kuwa imetekwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Mheshimiwa...
  18. J

    GE2025 Afrobarometer: Rais Samia atashinda Uchaguzi akigombea na yeyote kwa 83%

    == Utafiti uliofanywa na taasisi maarufu ya Afrobarometer mwaka 2024 unaonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 83% miongoni mwa watanzania. Kwa mujibu wa utafiti huo wananchi wengi waliohojiwa walisema wana imani zaidi na Rais Samia kutokana na jitihada zake mbalimbali za kiuongozi alionesha...
  19. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 CHADEMA wameanza kutoa fomu za uchaguzi

  20. Mto wa mbu

    Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
Back
Top Bottom