Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani.
Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere.
Wakaibuka akina...
Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari.
Haya Taifa lipo na slogan ya...
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard
Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA"
Gazeti hilo liliandika
Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita...
Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba.
Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote.
Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha.
La pili ni kwamba wapinzani wa...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani, akisema ni hatari kwa ustawi wa sekta hiyo.
Akizungumza leo ljumaa, Agosti 8, 2025 jijini Dodoma katika...
Wanajamvi
Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza...
Unaambiwa kinyang'anyiro cha uchanguzi wa mwaka huu ni Mama Samia vs Salum Mwalim vs Mpina..
Uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya futuhi ni zaidi ya cheka tu ni zaidi ya sinema zetu kusema kweli ni vichekesho + comedy...nchi hii inadidimia na bado kuna nyumbu na vyura wa kijani unawasikia wakisema...
Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030.
Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao.
Hii ngoma ni hatari sana.
Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
haki za binadamu
kuelekea uchaguzi mkuu
mitandao kufungiwa
tanzania
uchaguzi
uhuru wa habari
unyanyasaji
unyanyasaji wa wapinzani
wanaharakati
wapinzani
Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong...
ACT - Wazalendo wamekuja na ujumbe muhimu sana "#MHUNI HASUSIWI KURA" na OKTOBA - LINDA KURA.
Ni jumbe kali sana. Napenda kuziwakilisha kwa NO REFORM NO ELECTION, ili tuzijadili hoja hizi mbili kwa kina.
Kwani ni takriban miezi 3 mpaka uchaguzi, hatujachelewa kwa jumbe moja au nyingine, meza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.