uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili. Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kilichoiua CCM hadi kuogopa kushiriki uchaguzi wa vyama vingi hiki hapa

    Kabla Magufuli hajakabidhiwa Uenyekiti wa CCM Taifa , chama hiki kilikuwa mali ya wanachama wake , walijianzishia miradi yao kwenye matawi , walijipatia chochote kwa kulinda magari yaliyolazwa kwenye ofisi hizo , wengine walianzisha miradi ya kupangisha wafanyabiashara kwenye baadhi ya maeneo ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waja na mbinu mpya ya kuiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wapinzani wameona jinsi gani Rais MAGUFULI akipambana kuleta maendeleo ya kweli katika Nchi yetu ya Tanzania,Hata baadhi ya wapinzani wanamkubali sana Magufuli lakini kwa kuwa wao wameshaapa kuwa wapinzani hawana jinsi bali ni kuendelea kumwaga sumu kwa wananchi ili ionekane wao ndio watu...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wataka muda wa kuchukua fomu uchaguzi wa Serikali za mitaa uongezwe

    Wakati kesho ikiwa ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimetaka muda huo usogezwe mbele. Source Mwananchi
  6. JamiiForums Tanzania Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

    Wanabodi, Hili ni ombi maalum kwa watu maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread maalum kwa watu maalum na lengo maalum la kutuma ujumbe maalum kabisa kwa watu maalum kabisa. Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mgombea wa CHADEMA anapewa fomu na msimamizi kuwa hajateuliwa kugombea

    Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.
  8. JamiiForums Tanzania CCM acheni mnayofanya kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaam, Hii nchi si Mali ya CCM ni Mali ya watanzania wote inashangaza na kusikitisha jinsi CCM mnavyochezea amani ya taifa hili. Ni kwanini mnawanyima form wagombea wa vyama pinzani? Mna hofu gani wakati chama kinapendwa na wadanganyika takribani wote? Kwanini mnaagiza watendaji wa kata...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa neno juu ya figisu figisu zinazoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kufuatia matukio yanayoonyesha mazingira ya kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyojitokeza siku ya kwanza ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo, siku ya Jumanne Oktoba 29, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama tuliwahamasisha wananchi kujiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa basi na fomu za kugombea tuwape kwa moyo mweupe

    Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika. Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tutampima Jafo kwenye usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama atatosha kuwa Rais wetu 2025

    Wamesikika baadhi ya wavuvi pale Pwani ya Mbweni wakati wakimpongeza mwenzao aliyechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Mtaa kwa tiketi ya CUF Kumbe uchaguzi huu una mambo mengi aisee. Maendeleo hayana vyama!
  13. JamiiForums Tanzania Nyusi ameshinda uchaguzi wa Urais nchini Msumbiji

    Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama Kikuu cha Upinzani cha RENAMO kimeyakataa matokeo hayo, kikidai uchaguzi ulikuwa umegubikwa na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2015 Katika Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA 2015, haya ndiyo yaliyoahidiwa

    CHADEMA itafanya nini: Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. Hii ni pamoja na kujenga uwezo wa kuzalisha mataluma ya reli nchini. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya Taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa mkoa wa DSM asikitishwa na kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kutohudhuria kongamano la Uchaguzi

    Shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Salum amelalamikia kitendo cha RC Makonda na wasaidizi wake kushindwa kuhudhuria kongamano la Uchaguzi, amani na uchumi wa viwanda licha ya kupewa mwaliko Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa mkoa wa Dsm kutoa ushirikiano kwa kamati ya amani kwani majukumu yao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Fomu za kugombea uchaguzi serikali za mitaa kuanza kutolewa tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wapinzani zingatieni

    Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda. Source Star tv!
  17. JamiiForums Tanzania Mamluki washindwa kupenya uchaguzi wa ndani CCM

    Uchaguzi wa ndani wa CCM umewaweka kando wagombea wote waliotoka upinzani. Wagombea wote waliounga mkono juhudi wamejikuta wakishindwa kupenya katika chujio la uchaguzi wa ndani wa CCM na kubandikwa majina ya jebehi kama wakuja, mamluki na nk. Uchaguzi wa wenyeviti unatarajiwa kufanyika mwezi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Juhudi za kuua upinzani nchini kwenye uchaguzi ujao ni kwa maslahi ya nani?

    Wanabodi, Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa sasa. Mfano mzuri ni huu wa kuzuia wabunge wa upinzani kufanya mikutano kwa Uhuru na wapiga kura...
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaonya watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020

    Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza. IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani inaawafanya wanawake wasijitokeze kwa wingi katika kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Salaam Wakuu, poleni na majukumu mbalimbali. Kama tujuavyo kwa sasa nchini Tanzania kuna vuguvugu kubwa la Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Baadhi ya Wananchi wamejitokeza kujiandikisha na wengine wameenda mbali zaidi na kujitosa katika kuwania nafasi mbalimbali za Serikari za Mitaa. Uzi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…