uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiukaji wa taratibu za Uchaguzi Jimbo la Ukonga

    KATIBU WA MKOA CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 19989 DAR ES SALAAM 22/07/2020 Ndugu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi mambo yalivyo Uchaguzi Mkuu mi binafsi nahamia CCM

    Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako. Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Sheria ya Uchaguzi inaruhusu uchaguzi kufanyika siku mbili au zaidi?

    Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au sababu nyingine yoyote inayotokana na uchaguzi kufanyika au kukumbwa na kasoro katika siku ya kwanza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watendaji wa ZEC na Polisi kupiga kura Oktoba 27 badala ya Oktoba 28

    Mwenyekiti wa ZEC jaji mstaafu Mahmoud ametangaza uchaguzi wa Zanzibar wa Rais, wawakilishi na madiwani kufanyika tarehe 27 na 28 Oktoba,2020. Tarehe 27 Oktoba ni maalumu kwa watendaji wa tume, wajumbe wa tume na Polisi ambao watakuwa zamu siku ya tarehe ya uchaguzi. Tarehe 28 itakuwa uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa lugha nyepesi uzi huu tuelimishaneni, Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa na nani? Kweli mimi sielewi

    Habari wadau. Hivi haya madai ya tume huru ya uchaguzi sawa kama neno linavojieleza kwamba tume iwe huru lakini yaani kwamba wanaounda tume wawe watu gani kwa mfano? Mimi kwa akili zangu za kawaida tume huru inamaanisha chukua watu toka nje ya bongo yaani nchi mbali mbali walete waje waunde...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mihayo: Wasimamizi wa Uchaguzi wasipokee maagizo ya kuvuruga Uchaguzi kutoka kwa Viongozi wa Serikali

    Kamishna wa Tume ya uchaguzi NEC Mhe. Jaji Mihayo amewataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya Siasa pale inapostahili kufanya hivyo ili uchaguzi uweze kuwa Huru na Haki. Kadhalika Jaji Mihayo amewaasa wasimamizi hao kutopokea maagizo kutoka kwa Viongozi wa Serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Naropoka nilichowaza ujio wa Tundu Lissu

    Nalopoka Nilichowaza: Hivi itakuwaje iwapo kesho wanaanchi wakaamua kumshangilia kwa nguvu sana Tundu Lissu anapoenda kutoa heshima yake kwa Marehemu Mkapa? Itakuwaje pale wengine wakaamua kupitiliza na kusema Tundu Lissu ni Rais wakiimba raisi raisi raisi, huku mabalozi na wageni wengine wa...
  9. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu (CCM) Taifa uvurugwaji wa Uchaguzi wa Kura za Maoni CCM-Kiluvya

    Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee 27th Julai 2020 KWA KATIBU MKUU (CCM )TAIFA NAKALA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI, KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE, KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

    Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki. Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu. Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili. Mifano...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

    Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya Uchaguzi 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi, yatoa ratiba ya utekelezajo wa Shughuli za Uchaguzi 2020
  15. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi huu, mwaka 2025 wapiga kura wataongezeka sana

    Maana halisi ya nguvu ya umma sasa imeonekana. Uwazi wa kura wanazopata wagombea katika hatua ya Vyama inahamasisha sana na wananchi tunaona maana ya kura sasa. Vyama vyote ambavyo kwa vyovyote vile vitabadili wagombea na kuwaacha wale ambao wanaonekana vinara wanatakiwa wafanye hivyo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  18. JamiiForums Tanzania Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

    Pongezi JF Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote. Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa...
  19. JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  20. JamiiForums Tanzania NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

    NEC YATANGAZA TAREHE ZA KUCHUKUA FOMU KWA NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC nchini imetangaza kuwa itaanza kutoa fomu za Urais kuanzia Agosti 5 hadi Agosti 25 mwaka 2020. Fomu za kugombea urais zitatolewa katika Ofisi Kuu za NEC zilizoko Njedengwa jijini Dodoma Aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…