Naropoka nilichowaza ujio wa Tundu Lissu

puza46b

Member
Nov 3, 2010
91
261
Nalopoka Nilichowaza:
  • Hivi itakuwaje iwapo kesho wanaanchi wakaamua kumshangilia kwa nguvu sana Tundu Lissu anapoenda kutoa heshima yake kwa Marehemu Mkapa? Itakuwaje pale wengine wakaamua kupitiliza na kusema Tundu Lissu ni Rais wakiimba raisi raisi raisi, huku mabalozi na wageni wengine wa nchi za nje wakiangalia?
  • Hivi itakuwaje pale itakapongundulika wale waliokuwa wakikimbiza magari ni kwa sababu ya upenzi wa watanzania kushangaa kila tukio?
  • Hivi itakuwaje pale ambapo ACT Wazalendo, kwa kuangalia mbele, wakaamua kumpa nafasi Lisu agombee uraisi na wakaunganisha nguvu na CHADEMA kwenye uchaguzi?
  • Hivi itakuwaje pale ambapo wale waliojaribu, wakashindwa, wakaamua kumalizia kazi? Mungu tupilia mbali.
Nimesema nalopoka, msininyonge ni ubongo wangu umepitiliza, labda wajumbe wamenikoroga..
 
Kwa busara sana naona watakaomsindikiza mh Lissu kesho kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mkapa wasioneshe dalili za kumshangilia pale uwanjani.

Pia mh Lissu kwa upendo wako kwa waTanzania naomba kesho uende ukiwa nadhifu na utoe heshima za mwisho kwa maneno yenye busara zinazochoma mioyo ya waliokaa meza kuu ukitumia lugha ya kiswahili pamoja na maneno ya kingereza ili wageni wengine wakuelewe lakini usihudubie habari za siasa na uchaguzi.

Chagua maneno ya kuchoma zenye kupeleka ujumbe kwa viongozi wa meza kuu; najua kufika kwako kuna wengine watatoa machozi iwe kwa nje au kwa ndani wakikulilia kwa furahaa na siyo marehemu Mh Mkapa.

Kuna siku naisema; kuna mtu alileta mada moja hapa ikafutwa haraka kua Mh Lissu amekufa; kweli niliiona nikiwa Bukoba hotelini nilipofikia kwakweli nilikimbia haraka sana kwenda kuharisha; make tumbo ya kuhara ilinishika ghafla kurudi nikaona uzi umefutwa back to 2018.

Mungu mi mwema wakati wote...iwe mvua iwe jua lazima machungu uliyoyapata na wetenda watayapata tu..tunaishi hapa hapa duniani tunajuana.
 
Hii ilitukuta wengi.
 
Sometimes huwa natamani sana ningekuwa na uwezo fulani hivi ili nimlipie Kisasi Tundu Lissu
 
CDM
chasoudsm___CDJluzXAR5q___.jpeg
 
Somo la uzarendo linatakiwa Sana,
TANZANIA KWANZA

"....kupitiliza na kusema Tundu Lisu ni Raisi wakiimba raisi raisi raisi, huku mabalozi na wageni wengine wa nchi za nje wakiangalia"
 
Kama Tundu Lissu unasomaga JF au hata hao wasaidizi wako watakuwa wametulia na kuangalia JF. Tafadhali, usiende msibani kesho. Sababu ni nyingi ila; 1. Jiulize, ni kweli alikuwa kiongozi wako, lakini sasa kama wakuu weshauchukulia ka msiba wao, wewe itakupunguzia nini usipoenda? 2. Pale, ni mahali ambapo top secirity imekaa, kwa nini uwepo wako uanzishe kitu chochote cha kuwafanya watu waamue kivingine?? Kilichokurudisha home ni kuutafuta uongozi. Tulia, ukijihadhari, utaupata lakini masifa yatakupotezea nafasi
 
Watu waachwe huru maana pia inategemea watakuwa wakiimba wakimaanisha ni Raisi wa wapi, Maana Tz ina Rais mmoja Tu naye JPM pekee

Wakitaja hivyo watakuwa wakimaanisha ni aliyekuwa Raisi wa wanasheria nchini
 
Kisasi kitalipwa na waliochukizwa na lile tukio. kuna watu maisha yao yako shakani 2021 wanaweza wasiione.
 
Kwa busara sana naona watakaomsindikiza mh Lissu kesho kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mkapa wasioneshe dalili za kumshangilia pale uwanjani.

Pia mh Lissu kwa upendo wako kwa waTanzania naomba kesho uende ukiwa nadhifu na utoe heshima za mwisho kwa maneno yenye busara zinazochoma mioyo ya waliokaa meza kuu ukitumia lugha ya kiswahili pamoja na maneno ya kingereza ili wageni wengine wakuelewe lakini usihudubie habari za siasa na uchaguzi.

Chagua maneno ya kuchoma zenye kupeleka ujumbe kwa viongozi wa meza kuu; najua kufika kwako kuna wengine watatoa machozi iwe kwa nje au kwa ndani wakikulilia kwa furahaa na siyo marehemu Mh Mkapa.

Kuna siku naisema; kuna mtu alileta mada moja hapa ikafutwa haraka kua Mh Lissu amekufa; kweli niliiona nikiwa Bukoba hotelini nilipofikia kwakweli nilikimbia haraka sana kwenda kuharisha; make tumbo ya kuhara ilinishika ghafla kurudi nikaona uzi umefutwa back to 2018.

Mungu mi mwema wakati wote...iwe mvua iwe jua lazima machungu uliyoyapata na wetenda watayapata tu..tunaishi hapa hapa duniani tunajuana.
Kwa akili unadhani kill mtu atapewa airtime kuongea. Labda mvizie vyombo via habari. Kupewa podeam sahau.Hizo ni anga za mkuu wa nchi JPM na wengine wakilishi wa nchi rafiki mlishachanganyikiwa mnafikiri kill sehemu ni siasa.Jinga kabisa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom