uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Msipompitisha Lissu watampigia Membe, msipompitisha Membe watampigia Rungwe, msipowapitisha wote raia watasusia uchaguzi

    Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo. Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya kukatwa, basi option ya pili waliyonayo raia ni Membe. Mkimkata na yeye raia wanaona ni bora hata wampe...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

    Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani? Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kadri joto la uchaguzi linavyopanda, sitashangaa kusikia watumishi wa Umma wenye madai mbalimbali wakianza kulipwa

    Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti kutoka Kijiweni kwako kuhusu Upepo wa Kisiasa na Uchaguzi 2020

    Wanajanvi Tupeane Ripoti ya Upepo wa Kisiasa unavyoendelea kijiweni pako kadri ya siku zinavyoenda. Hapa kijiweni pangu napocheza Drafti kila jioni hali kidogo imebadilika baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea Uraisi wa JMT. Sifa kidogo alizokua akipewa Mfarume wa Uajemi zimepungua sana. Na...
  11. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Ilani ya CCM inasema nini kuhusu kurejesha viwanja serikalini/TFF?

    CCM haiwezi kuinua Michezo nchini Kama itaendelea na sera yake ya kuvishikilia viwanja vya Michezo nchini na bila kuvifanyia matengenezo makubwa. Inasikitisha Sana wadau wa Michezo kuhusu hili kwasababu Michezo haina chama. Viwanja vinachangia timu zetu kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Wapenda...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

    Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya. MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA Mwenyekiti wangu, maisha ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

    Kwakuwa kesho ni sikuku ya Nanenane (Public holiday), ofisi za serikali/ umma huwa hazifunguliwa isipokuwa kwa baadhi tu ya ofisi au Taasisi ambazo kulingana na nature ya kazi zao,ofisi zao huwa hazifungwi. Kwa msingi huo, NEC kesho watafungua ofisi zao? Au katika ratiba waliyotoa ya...
  15. JamiiForums Tanzania RPC Muroto ni wajibu wako kumlinda Mgombea Urais Lissu atakapokuja Dodoma kuchukua fomu ofisi za Tume ya uchaguzi

    Nimeona nikukumbushe mapema kuhusu jambo hili kutokana na umuhimu wake . Lissu alishambuliwa mchana Dodoma , hatuna haja ya kukumbusha yaliyojili , bali itoshe tu kusema kwamba hakuna juhudi zozote zilizofanyika ili kuwabaini washambuliaji , bali sarakasi na danadana tu ndio zilizotamba , TUKIO...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo Uchaguzi wa Mwaka huu; NEC/ZEC msicheze na sanduku la kura ni 'Bomu'

    Kwa hali ilivyo uchaguzi wa mwaka huu wa Oktoba ni kama bomu linalosubiri kulipuka, usipoendeshwa kwa tahadhari Tanzania inaweza kuandika historia mpya. Navikumbusha Vyombo vya Dola, Msajili wa vyama, Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC na viongozi wote wa vyama vya siasa na serikali kuepuka maneno...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia SAU, Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza wamewasili Ofisi za NEC peku kuchukua fomu

    #Uchaguzi2020 Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza Satia Musa, walipowasili hii leo Agosti 7, 2020, kwenye ofisi za NEC wakiwa peku bila Viatu kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ. Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

    Heshima kwenu Wakuu, Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu. Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ana marafiki wa kificho, Rais Magufuli ana maadui wa kificho

    UCHAGUZI wa mwaka huu unatakuwa ngumu na wenye mvuto mkali. Hii ni sawa na pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu. Mapambano kama haya yakitokea hulazimisha shughuli zingine zisimame ili kupisha mpambano mkali na wenye mvuto. Hivi ndiyo ninavyoona uchaguzi wa mwaka huu. Siyo uchaguzi wa CCM VS...
  20. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania yatoa maagizo juu ya uendeshaji wa Fedha za Kigeni

    Benki Kuu imetoa dokezo la kisera (fedha) kudhibiti zaidi upatikanaji wa fedha za kigeni. Sera hii inapunguza upatikanaji wa fedha za kigeni kwa ajili ya miamala ya kimataifa (export revenue) na kitaifa au kuharamisha biashara za fedha za kigeni kuoitia mitandao kwa miezi sita (6) ijayo Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…