uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. US election 2020: Nani kuwa mgombea mwenza wa Joe Biden kati ya hawa?

    Habari! Mnamo mwezi Machi, Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden aliahidi kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza iwapo atateuliwa na Chama cha Democratic kuwania kiti cha Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba hapo baadaye mwaka huu. Kwa yule asiyefahamu, Joe Biden hivi sasa ndiye...
  2. Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020

    Wasalaam, tangu tumepata Uhuru tumetawaliwa na CCM, matatizo na umasikini tulionao umesababishwa na wakoloni weusi CCM. Hawa CCM wamegeuza hii nchi ya kifalme anatawala babu hadi mjuku, kazi yao kubwa wakoloni hawa kutuimbia watanzania ngonjera; 1. Mhe. Ally Hassan Mwinyi; ruksa 2. Mhe. Mkapa...
  3. J

    Wapiga kura 566,000 kushiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar!

    Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu Chanzo: ITV habari. Maendeleo hayana vyama!
  4. CUF: Tunatarajia Uchaguzi Mkuu utakuwa wa Uhuru na Haki. Yeyote atakayetutikisa tutamwangusha kama papai mtini

    TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI" KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai...
  5. Q

    GE2020 Ili kushinda uchaguzi, upinzani unatakiwa kutumia akili ya ziada

    Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa pande zote mbili, CCM na upinzani, kwa CCM ni uchaguzi wa kufa na kupona, CCM itatumia mbinu zote halali na haramu kuhalalisha ushindi, ikiona inaelekea kushindwa kwa njia halali ya sanduku la kura itatumia mbinu mbadala hata kwa kufuta matokeo kama...
  6. J

    GE2020 NEC: Ni marufuku Wasimamizi wa Uchaguzi kufunga ofisi siku za kurudisha fomu na siku za uteuzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea. Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia...
  7. Naulizia kuhusu zile kazi za muda za Uchaguzi Mkuu October

    Habari za leo wajumbe wa Uchaguzi Mkuu, Mie kijana nipo nasoma chuo kikuu hapa dar es salaam , napenda ulizia eti zile kazi za muda za kusimamia Uchaguzi Mkuu je zinapatikanaje (maana natafuta pa kujishikiza katika likizo hiyo ya mwisho wa mwaka)? Na je wapi kutakuwa na chances either...
  8. Uchaguzi mkuu 2020 ni mtanziko wa kuteua kati ya shetani wa kijani na shetani mwekundu: tufanyaje?

    “Watu hatutofautiani sana katika uelewa wetu kuhusu vitu gani vinaitwa matendo mabaya; bali, tunatofautiana sana katika utayari na ujasiri wetu wa kuhimiza na kutekeleza matendo mabaya.” –- G.K.Chesterton (1874-1936) "Ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote...
  9. GE2020 Kwa namna gani chama imara kama CCM, kikubwa na chenye historia ndefu kinawezaje kusumbuliwa na vyama vidogo?

    Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P), Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza inawezekanaje na ni kwanini CCM hujikuta wanatumia nguvu kubwa sana kuvuka na hatimaye kupata ushindi wa chaguzi...
  10. Hili na polisi na tume kupiga kura siku moja kabla litaleta machafuko, kwanini wasipige kura siku ya uchaguzi

    Naona kama vile amani ya kweli ccm na serikali wameichoka wanatafuta machafuko na vita vya ndani. Ivi kura za kupigwa siku mbili tena vikianza vyombo vya ulinzi wana lengo gani? 1. Kujua imani ya jeshi na tume wako mlengo gani? 2. Kuchakachua kura kwa kisingizio kuwa za jana zilikuwa nyingi...
  11. Umuhimu wa ushirikiano wa vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2020. Maaskofu katika DR Congo walitoa mchango mkubwa sana katika kuifanya ya DRC kuwa na utulivu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Ushiriki wao katika kuyaunganisha makundi au vyama ndani ya DRC hauwezi kusahaulika...
  12. Midahalo ya wagombea urais kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mwishoni mwa juma lililopita nilileta mada hapa jukwaani kuhusu Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Bw. Thabo Mbeki, alivyomkumbuka hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Kwenye bandiko hilo, nami nikatoa maneno mawili matatu kumhusu Rais huyo mstaafu Mkapa, kwa jinsi nilivyomjua mimi, kiumbali...
  13. J

    Kabla ya kulaumu tujiulize Je, wabunge wa upinzani wanatekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM?

    Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM? Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo? Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo. Nawatakia Eid Mubarak...
  14. Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
  15. Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  16. M

    GE2020 Ukiukaji wa taratibu za Uchaguzi Jimbo la Ukonga

    KATIBU WA MKOA CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 19989 DAR ES SALAAM 22/07/2020 Ndugu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam...
  17. Kwa Jinsi mambo yalivyo Uchaguzi Mkuu mi binafsi nahamia CCM

    Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako. Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya...
  18. S

    Hivi Sheria ya Uchaguzi inaruhusu uchaguzi kufanyika siku mbili au zaidi?

    Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au sababu nyingine yoyote inayotokana na uchaguzi kufanyika au kukumbwa na kasoro katika siku ya kwanza...
  19. K

    Zanzibar: Watendaji wa ZEC na Polisi kupiga kura Oktoba 27 badala ya Oktoba 28

    Mwenyekiti wa ZEC jaji mstaafu Mahmoud ametangaza uchaguzi wa Zanzibar wa Rais, wawakilishi na madiwani kufanyika tarehe 27 na 28 Oktoba,2020. Tarehe 27 Oktoba ni maalumu kwa watendaji wa tume, wajumbe wa tume na Polisi ambao watakuwa zamu siku ya tarehe ya uchaguzi. Tarehe 28 itakuwa uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…