Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,371
8,107
Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais

Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu kukataa Fomu 34A zilizowasilishwa na timu ya wanasheria wa Raila kama fomu halisi, akibainisha kuwa sio halali na zina udanganyifu

Suala la mchakato wa kubadilishwa fomu pamoja na muundo wake ni miongoni mwa ufafanuzi uliotakiwa na Majaji wa Mahakama Kuu kutokana na madai ya upande wa Odinga na timu yake.

=============================

The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) accused Azimio leader Raila Odinga of forging evidence he submitted to the court in his presidential election petition.

In his submissions on Thursday, September 1, IEBC advocate Mahat Somane asked the Supreme Court to reject the Forms 34A tabled by Raila's legal team as the authentic forms, noting that they were manipulated.

Somane told the Court that the alleged forgery by the petitioner was evident in the case of the form purported to be from Ndaina Polling station in Tiaty, Baringo county.

"In the Arnold Ochieng affidavit, they claimed that in Ndaina polling station, they claimed that their agent provided them with a form which was different from what is in the portal.

"If you look at the form attached to the portal and even the one the petitioner submitted, there was no agent at the polling station. This is a photoshop gone wrong," he noted.
The advocate broke down the discrepancies of the forms submitted by Raila's team in terms of the content of the image.

"Our forms were downloaded, and the numbers forged. But the problem is that all forms submitted by IEBC have a black and white background unique to the KIEMS kit," he added.

While explaining the discrepancies, Somane elucidated why Forms 34A in the portal were in PDF format. He noted that this was made possible by a software pre-installed in the KIEMS kits.

"We were deliberate to have the KITS have an imaging software embedded and send them in PDF. This was for security purposes and to differentiate between images taken and what we put out on the portal," he remarked.

KENYANS
 
Raila na timu ya mawakili walio wasilisha viapo vya uongo wanapaswa wafunguliwe kesi za jinai kwa kitendo cha kuihadaa mahakama ha umma wa wakenya.
 
Back
Top Bottom