uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwajuma wa UMD kuigawa Tanzania kimajimbo akipata Urais

    Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anaigawa Tanzania kwa Majimbo. Ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake kwenye...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Mamalishe awataka wajasiriamali Singida kumsapoti Samia

    Mwenyekiti wa Mamalishe Tanzania, Havijawa Omary, amewaomba viongozi wa wajasiriamali wa Mkoa wa Singida kumsemea vizuri Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili ashinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza jana...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Mama yangu kukamatwa na polisi kisa kodi kumenipelekea niingie kwenye siasa

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo. Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Malasusa ahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais (AAFP): Nitatoa Trekta kwa kila kaya

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kugawa trekta 2 kwa kila kaya kumi katika kata ya Ifakara Mkoani Morogoro. Pia ameahidi kuwapatia Vijana wenye umri kuanzia miaka 18 mashine aina ya power tiller kwa kila kijana ili...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA Tabora: Pamoja na maumivu yote, kesho yetu ni bora

    Viongozi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nzega, Tabora, wamefanya maadhimisho ya Mashujaa Day kwa kuwakumbuka na kuwaenzi wanachama na viongozi wa chama hicho waliopoteza maisha wakiwa katika mapambano ya haki na demokrasia nchini. Soma pia: Makalla: CCM...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msafara wa Gombo wasimamishwa na wananchi Geita

    Msafara Wa Mgombea Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Wananchi CUF Gombo Samandito Gombo Ulivyosimamishwa Na Mamia Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Kasota, Kata Ya Bugurura, Wilaya Ya Geita Vijijini, Mkoani Geita. Soma pia: Mgombea Urais Samandito Gombo (CUF): Tutahakikisha...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NRA: Tutatunga sheria ngumu dhidi ya ushoga

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, ameahidi kuwa iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itatungua sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsi moja ndani ya siku 30 baada ya kuundwa kwa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais kupitia CCK aahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35

    Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35 ilikuboresha maisha ya vijana, kwa upande mwingine Kibonde ameahidi kutoa elimu bure kuanzia elimu cha awali hadi chuo kikuu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA wataka anayedhaniwa kuwa Polisi atolewe nje ya Mahakama

    Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kutolewa nje mtu mmoja aliyedhaniwa ni askari ambaye ameenda kukaa katika benchi la wafuasi hao Leo Septemba 8, 2025 Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge CHAUMMA amnadi Samia jukwaani akipiga kampeni

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu. "Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Kibaha vijijini: Samia ameletwa na Mungu kuikomboa Tanzania

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni Rais aliyeletwa na Mwenyezi Mungu akieleza kuwa hilo linathibitishwa na namna alivyofanya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa Mahakama Kuu kwa mara ya kwanza leo Septemba 8, 2025 kujibu kesi ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH). Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salumu Mwalimu: Nasikia sauti ya Mungu, Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu

    "Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri." "Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ambwene Mwasongwe aomba radhi baada ya Wananchi kumuwashia moto aliposhiriki kwenye kampeni za CCM

    Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa. Ambwene ameomba radhi na amefafanua kwa mgombea aliyekwenda kumuunga mkono ni jamaa yake wa siku nyingi na alimualika katika ufunguzi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigamboni: Yericko Nyerere kuzindua Kampeni zake 23/9/2025

    Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake, Wimbo👇
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Segerea ampongeza Rais Samia kwa Mikopo ya Vijana na Wanawake Bila Riba

    Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Dar es Salaam kupitia CHAUMMA Ndugu Agnesta Kaiza amsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Mamilioni kwa ajili ya kuwakopesha Wanawake na Vijana wote Nchini bila riba.
Back
Top Bottom