uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ibrahim Shayo aahidi kutokomeza changamoto ya taka Moshi Mjini

    Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini , kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo amezungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Kampeni za ubunge wa jimbo hilo uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi. Ibrahim Shayo maarufu kama Ibraline ametoa ahadi mbalimbali...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tazama mwitikio wa wananchi wa Kasulu katika kongamano la kuombea uchaguzi mkuu 2025

    Huu ni umati wa watu waliojitokeza katika kongamano la kuombea uchaguzi mkuu 2025 utakaofanyika oktoba 29 lililoandaliwa na baadhi ya taasisi za kidini katika mji wa kasulu mkoani kigoma leo septemba 9, 2025 kwa lengo la kuombea amani, utulivu na kutoibuka kwa vurugu zozote wakati wote wa...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi ujenzi wa mabweni shule za sekondari Bahi

    Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leo Magari yenye chata za Makonda na kombati ya kijeshi yameenea jijini Arusha kuelekea uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu

    Shamra shamra za kampeni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinaendelea kushika kasi! Leo magari yenye chata la mtia nia kupitia Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda yameonekana yakizunguka mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha yakitoa hamasa na ishara ya uzinduzi mkubwa wa kampeni. Soma...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Iringa: Wazee wa Mila wadai Rais Samia anapendwa kwa asilimia 199

    Wazee wa Mila katika eneo la Kalenga Mkoani Iringa wameeleza matumaini makubwa waliyonayo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tayari wamemkubali kuendelea na wadhifa wake baada ya Uchaguzi Mkuu. Pia, wamewaasa vijana kuweka imani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili waendelee kunufaika na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyeshindwa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, Sambwee Shitambala amekanusha tuhuma za Kuhama CCM

    Aliyetia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Wakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala, amekanusha tuhuma za kuhama chama hicho na kwenda Chama kingine cha upinzani kama uvumi unavyosema. Wakili Shitambala amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena Mahakama Kuu leo Septemba 9, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili. Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yafunguka Mgombea Ubunge kujitoa, Sumbawanga Mjini

    Baada ya Siku kadhaa kupitia aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Edwin Kachoma kutangaza kujitoa katika kinyang'anyiro cha Ubunge kutokana na kutopata ushirikiano kutoka ndani ya chama, hatimaye Uongozi wa Chama Mkoa wa Rukwa umefunguka...
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dotto Bulendu: Wanahabari wametekeleza wajibu wao kuelekea uchaguzi mkuu

    Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) kilichopo mkoani Mwanza, Dkt. Dotto Bulendu amesema waandishi wa habari wametekeleza wajibu wao katika kutangaza kampeni kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Dkt. Bulendu amesema waandishi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Kigoma wamejitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge Baba Levo

    Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini. Soma Pia: - GE2025 - Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Tunawajua watakaotupigia Kura kwa utafiti

    Akiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, Professor Kitila Mkumbo ambaye pia ni Mwenyekiti kamati ndogo iliyoandaa Ilani ya CCM, ametoa ufafanuzi kulingana na utafiti kuwa Chama kinafahamu wapiga kura wao "chama chochote chenye akili duniani huwa vinafanya kitu kinaitwa 'Opinion Poll research'...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Ilani ya CCM inakemea Utekaji

    Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 ITV Septema 8, 2025, Professor Kitila Mkumbo alisema haya kuhusu suala la utekaji na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) "ilani ya CCM ina vipaumbele tisa, kwa mfano kipaumbele cha sita ni kudumisha demokrasia na utawala bora, hapa tunazungumzia...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Mayeye: Nikiingia Bungeni nitapigania bajeti ziwafikie

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anapigania maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha bajeti zinazopitishwa bungeni zinawagusa moja kwa moja wananchi na si kufujwa kwenye...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Shinyanga linadaiwa kuwakamata viongozi wa CHADEMA waliokuwa wakifanya usafi kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge. Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kituo cha ukenyenge ni hawa wafuatao; 1. Jackson Mnyawami Mnyawami Katibu wa kanda ya serengeti 2...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ujumbe huu umechapishwa na Rais Samia akiomba wana Makunduchi wamchague Wanu Hafidh Ameir

  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais hama cha Wakulima (AAFP) aahidi kununua Helikopta kwa kila wilaya kusaidia watakaokumbwa na mafuriko

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kununua helikopta kwa kila wilaya nchini zitakazotumika kusaidia shughuli za uokozi kwa Watanzania watakaokumbwa na mafuriko.
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Songwe: Wapongeza 'Pikipiki za Mama' wadai zimewaokoa

    Wakazi wa mkoa wa Songwe wameshukuru na kupongeza juhudi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakumbuka makatibu wake kwa kuwakabidhi pikipiki mpya, maarufu kama Pikipiki za Mama. Wakazi hao Wanasema hizo zimeleta mabadiliko makubwa ya kasi na ufanisi katika utendaji wa kazi za chama mashinani...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais UPDP: Nikipewa ridhaa mtoto atasoma darasa la 1–7 masomo ya darasani na la 8–10 ujuzi aliouchagua

    Mgombea urais wa Chama cha UPDP, Twalib Kadenge amewashangaza wananchi wa Mwanza kwa staili yake ya kampeni ya kucheza muziki kila baada ya kutoa ahadi moja na kuzungumzia sera za chama chake. Akizungumza amesema, "UPDP ikipewa ridhaa ya wananchi, mtoto kuanzia darasa la 1 mpaka la 7 atasoma...
Back
Top Bottom