uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17

    Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ummy Mwalimu: Moyo wangu mweupe, tumpe Kura zote za 'Ndiyo'

    Aliyekuwa Waziri kwa Serikali za awamu tatu na Mbunge wa jimbo la Tanga kwa tiketi ya CCM Ummy Mwalimu, amesema roho yake nyeupe hata kama jina lake limeenguliwa na badala yake ataambatana na aliyeteuliwa kuhakikisha anapata nafasi ya Ubunge ili aweze kuendeleza miradi ya maendeleo aliyoiasisi.
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Pareso: Awaki alinishawishi nitoke CHADEMA nirudi CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nshala: Lissu awasilisha mapingamizi mawili makuu, kuna madai nyaraka zimeghushiwa

    Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amewasilisha mapingamizi mawili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ikiwemo kupinga mwenendo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Bukoba: Nawaahidi ndani ya miaka 5 ijayo Bukoba itakuwa kama Ulaya

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Johnston Mtasingwa, aliomba kura kwa wananchi mbele ya mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashai, mjini Bukoba.
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais Zanzibar: Tusiwapeleke Wazanzibari kwenye matatizo kwa wivu wa madaraka

    Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Septemba 9, 2025, raia wameanza kuimba 'Rais!…Rais!…. Rais!'

    Kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho Septemba 9, 2025 baada ya kuomba muda zaidi kupitia nyaraka za committal proceedings. Lissu aliwasilisha hoja kuwa nyaraka alizopewa akiwa gerezani zinatofautiana na zile alizokabidhiwa leo na Mahakama Kuu...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yawasihi waandishi wa habari kuepuka lugha za chuki wakati wa kampeni

    Vyombo vya habari na waandishi wa habari wameshauriwa kuepuka kutumia lugha za chuki, uchochezi au zinazoweza kugawa jamii kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi. Soma pia: ZEC: Vyama Visivyosaini Maadili ya Uchaguzi Havitaruhusiwa Kufanya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA sisi si wajinga, Lissu hawezi kuhukumiwa kwa Kesi ya kutengenezwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema Chama hicho hakitokubali kuona Mwenyekiti wao Tundu Lissu anahukumiwa kwa kesi za kutengenezwa. Heche ameyasema hayo leo Septemba 8 baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu ambaye tayari leo...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatima ya Mpina kujulikana septemba 11, 2025

    Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inatarajiwa kutoa hukumu ya Shauri Namba 21692 la mwaka 2025 kati ya Bodi ya Wadhamini wa chama cha ACT-Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali siku ya Alhamisi, tarehe 11 Septemba 2025...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jamii Mpya Tanzania yazindua mpango wa Kitaifa kuhamasisha ushiriki wa vijana na wanawake Uchaguzi Mkuu 2025”

    Taasisi ya Jamii Mpya Tanzania imetangaza mpango kabambe wa kitaifa wa kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ikilenga zaidi vijana na wanawake, huku ikipinga vikali miito ya kisiasa inayotaka wananchi wasusie uchaguzi huo. Mratibu wa Kitaifa wa taasisi hiyo, Ally...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma za Rushwa juu ya Serukamba zazua gumzo kwenye kampeni za ACT Wazalendo, Kigoma

    Katika kampeni zinazoendelea hivi leo mkoa wa Kigoma, Chama cha ACT wazalendo kikiwa katika ufunguzi wa kampeni hizo limeibuka wimbi la wananchi wakimtuhumu Serukamba kuwa ni anatoa rushwa ili apate kura. Kelele hizo zilisikika mara baada ya Mambo kupanda jukwaani nakuanza kumnadi Kiza Mayeye...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama wa CHADEMA amnadi mgombea wa ACT Wazalendo

    Monicka Ndungulu, mkazi wa Kata ya Mji Mwema katika Halmashauri ya Mji wa Njombe na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema kwamba licha ya chama chake kutojihusisha na uchaguzi, wananchi wa kata hiyo wanapaswa kuchagua kiongozi mwenye maono badala ya kuangalia itikadi...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sendwe (ACT): Mnamchagua Serukamba kwasababu ya Rushwa?

    Mwenyekiti mstaafu mkoa wa Chama cha ACT wazalendo mkoa wa Kigoma Bw. Sendwe ameauliza wananchi wa Kigoma kaskazini kuwa ni kwasababu ya rushwa, ameyasema hayo katika ufunguzi wa kampeni za Chama hicho mkoa wa kigomba katika jimbo kigoma kasakzini
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCK: Serikali yangu itagharamia mishahara wahudumu wa Bar

    Sasa kweli eti hii nayo ni sera ya chama kinachotaka kuchukua dola. Hivi wapo serious kweli hawa watu,walijiandaa kweli na huu uchaguzi au walikurupushwa tu? ---- Chama Cha Kijamii (CCK), kimezindua kampeni zake katika Jiji la Dodoma, ambapo Mgombea Urais, kupitia chama hicho Ndg. David...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba apokelewa kwa shangwe jimbo la Bumbuli, Tanga

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye Kata ya Mponde. Makamba ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mbeya limewakamata makada sita wa CHADEMA kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali

    TAARIFA KWA UMMA WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo atinga Kata za Kome kwa Baiskeli

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya kutoka Kata ya Lugata iliyoko Kisiwa cha Kome, walipokuwa wamekwenda kukutana na viongozi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADC, Wilson Elias Mulumbe aahidi Mwanza kuwa Paradiso

    Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza litakuwa ‘paradiso’ ya maisha bora na kitovu cha uchumi na maendeleo nchini Kauli hiyo ameitoa...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu amkataa Pro Bono aliyepatiwa na Mahakama Kuu, aamua kuendelea kujitetea mwenyewe

    Mahakama Kuu imempatia wakili (Pro Bono) Tundu Lissu, ambaye alikwenda gerezani kuzungumza naye. TAL amemkataa wakili huyo akisema anataka kujitetea mwenyewe kwa kuwa maneno yanayotajwa kuwa ni uhaini aliyasema mwenyewe. Hata hivyo, wapo mawakili zaidi ya 30 tayari kumtetea.
Back
Top Bottom