Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AAFP, Said Soud Said, amemshukia mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, akidai hana uwezo wa kufikia hata kwa mbali hadhi ya kisiasa ya marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.
Said alitoa kauli hiyo akijibu maneno ya uchochezi na ya kubeza sheria za...
Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni.
Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo.
Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa.
Lakini rufaa ya...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, serikali yake itahakikisha elimu inatolewa bure kuanzia darasa la awali hadi chuo kikuu.
Akizungumza jana katika mkutano wa kampeni...
Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA
DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI
Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya
Kwenye Video ni...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Katika hotuba yake, Rais Dkt. Mwinyi ameagiza kuimarishwa kwa usafi, kuzuia biashara nje ya maeneo...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara.
Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi.
Mtapigwa kila pembe hadi mchakae.
Tunajua muhasisi wenu Zitto anawapelekesha kwenye chama chenu, lakini kwa hali inavyokwenda ni vyema...
CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu.
Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya...
Ili kuthibitisha kuwa mikutano ya CCM inajaa, ingefaa tuone na mikutano ya CHADEMA. Hapo ndo tungejua kuwa mikutano ya CCM haina watu.
Nilihudhuria ufunguzi wa mkutano wa CCM mahali. Kwenye picha ilionekana watu ni wengi sana kwasababu picha zilipigwa tokea mbele.
Mkutano ulifanyikia kwenye...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 vikisomwa pamoja na kanuni ya 29(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea jumla ya rufaa hamsini na moja...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea.
"Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu lakini tutaendelea na mapambano." Naibu Mwenezi Taifa
Shangwe Ayo
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi.
Soma Pia: GE2025 - Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole
Hamjambo!
Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.
Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia...
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi kampeni zake kutokana na hali ngumu ya ukata wa fedha.
Akizungumza na TVE Habari, Katibu wa ADA TADEA...
Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya.
Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Hata hivyo, wakati mastaa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kukutwa wakitumia namba za SSH 2530 kwenye magari. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni sehemu ya utekelezaji onyo la kutotumia namba hizo baada ya Septemba Mosi, 2025.
Awali, Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.