uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia awajibu wanaodai CCM inatumia nguvu kubwa kwenye kampeni

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho. Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaisha: Nikiwa mbunge mtapita bure daraja la Kigamboni

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuhakikisha wanapita kwenye daraja la Nyerere (maarufu kama Daraja la Kigamboni) hawalipi fedha yoyote endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo. Ameyasema hayo Septemba 06, 2025 akiwa katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ummy Mwalimu: Siwezi kususa, naipambania CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Baba wa Taifa alitufanya tuwe wajanja siyo wajinga

    BABA WA TAIFA ALITUFANYA TUWE WAJANJA, SIO WAJINGA Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha viwanda vya kuchakata mazao yanayolimwa nchini hasa mkoani Arusha kunakotoka Vitunguu, na...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua rasmi kampeni za ubunge na udiwani kwa chama hicho katika mkoa mzima wa Kigoma. Akizungumza katika uzinduzi huo, Zitto amesisitiza dhamira yake ya kupigania haki za kiraia kwa wazawa wa Kigoma. Mbali...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wiki Moja Baada ya Ufunguzi wa Kampeni, NCCR-Mageuzi Bado Haijaanza Mikutano

    Wiki moja imepita tangu pazia la kampeni za urais na ubunge kufunguliwa rasmi Agosti 28, 2025, lakini chama cha NCCR-Mageuzi hakijaonekana kuanza mikutano yake ya kampeni. Katika ratiba ya kampeni za wagombea urais iliyotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), chama hicho licha ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita Akamatwa na Polisi Baada ya Uzinduzi wa Kampeni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Isihaka Mchinjita, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akitokea kwenye Uzinduzi wa Kampeni ambayo imezinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mpilili. Kukamatwa kwa Mchinjita kumeambatana wasaidizi wake wa chama hicho huku mabomu ya machozi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Leo nimerudi tena kwenu kwa ajili ya kuwaomba mnitume niende nikakamilishe kazi ambayo niliianza mwaka 2015

    "Leo nimerudi tena kwenu kwa ajili ya kuwaomba mnitume niende nikakamilishe kazi ambayo niliianza mwaka 2015 ikakayishwa mwaka 2020 tulifanya Kazi kubwa sana tulijenga heshima ya mji wetu tulijenga heshima ya mkoa wetu, tuliibua miradi mingi sana ambayo inakwenda kubadilisha uchumi wa mji wetu"...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA ampongeza Dkt. Mwinyi, asema anastahili kuendelea kuongoza Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa kuendelee kuiongoza Zanzibar.
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Njau: Rais Samia alitabiriwa kwenye Biblia

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro, akiwaomba kura za mgombea urais, ubunge na madiwani wa CCM. Njau ametumia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Njombe kwenye Kampeni za uchaguzi

    RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025 ameendelea kuonesha uongozi thabiti na dira ya maendeleo alipohutubia maelfu ya wananchi wa Makambako...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais AAFP: Serikali yangu haitoruhusu ushiriki wa Viongozi wa Dini kwenye Siasa

    Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu Akihutubia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa Mbarali: Tumchague Rais Dkt. Samia tusisikilize Vijana Vijiweni

    Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania; Kwani alipotoka ni pagumu na akaweza hivyo wana kila sababu ya kumuombea afya njema ili afanye zaidi ya aliyofanya kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha UDP inaendelea kunadi Sera ya Kujaza Watanzania Fedha

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP) Saumu Rashidi ameendelea na kampeni zake mkoani Mara na kunadi sera za chama hicho, huku akiahidi kuwajaza fedha mifukoni Watanzania wote kwa kuwafungulia fursa za kiuchumi Soma pia GE2025 - Mgombea Urais UDP: Lengo kubwa ya chama...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Tulia: Yamkini simu ni zao na bando zimeshuka bei watu wanatumia mitandao wanaongea wanayojiskia wao

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao kutukana na kuwasema Rais Samia kuwa hajafanya maendeleo ilhali reforms zimefanyika bungeni kwa kutumia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Hai atumia chopa kupita Kata kwa Kata kutambulisha Madiwani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Saashisha Mafuwe leo Ijumaa Septemba 5,2025 amefanya ziara yakuwatambulisha kwa wajumbe na wanachama wa chama hicho, wagombea wa Udiwani wa Halmashauri ya Hai waliopitishwa na CCM kugombea nafasi hiyo. Saashisha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Almas (NRA): Nitawalipa Watanzania wote GB 200 kama fidia ya bando walizowaibia kwa miaka yote, mkinichagua kuwa Rais

    Mgombea uraisi kupitia ticket ya Chama cha National Reconstruction Alliance (#NRA) Hassan Almas amewaahidi watanzania kuwa baada ya kuwa Rais atawalipa watanzania wote GB 200 kama fidia kwa wizi wa bando uliokuwa ukifanyika miaka yote ya nyuma. Ameyazungumza hayo leo Septemba 05, 2025 alipokuwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Zanzibar kupitia chama AAFP: Msajili afute vyama vinavyoashiria fujo

    Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othaman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Utamfananisha na nani hapa Tanzania?

    Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha huduma za wananchi na maisha yao na kusimama kinyume na mifumo uliyokuwepo ambayo ilikuwa inawanufaisha...
Back
Top Bottom