uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali isipuuze Maoni ya Viongozi wa dini, Maana wakati huu wa uchaguzi ndo tunaambiwa tuhubiri amani

    Viongozi wa dini mkoani Mwanza wameitaka Serikali kuacha kupuuza maoni yanayotolewa na viongozi wa dini na badala yake kuyafanyia kazi, ili amani na usalama viendelee kudumu nchini Wakizungumza katika mdahalo wa viongozi wa dini ulioratibiwa na Shirika la Ladies Joint Forum kuhusu umuhimu wa...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi akabidhi boti ya Wagonjwa Kojani Pemba, aahidi gati mpya kuimarisha huduma za kijamii

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaangalia uwezekano wa kujenga gati au kuchimba sehemu maalum ya bandari katika Kisiwa cha Kojani ili kurahisisha huduma ya boti ya wagonjwa kufanya kazi saa 24 bila vikwazo. Akizungumza na...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Tudumishe amani, tusikubali Siasa za chuki

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wasiohubiri amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Tukishinda Mahakamani tutapiga jalamba nchi nzima na Tutaitoa CCM Madarakani

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kitafanya kampeni katika kila kona ya nchi endapo Mahakama Kuu itatoa maamuzi yatakayoruhusu Luhaga Mpina kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho Akizungumza Oktoba 6, 2025 katika mkutano wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makumbo: Vijana tulinde amani, tusifuate mkumbo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana na Wanawake (TAFEYOCO), Elvis Makumbo, amewashauri vijana kulinda amani iliyopo nchini na kuepuka vishawishi vilivyopo kwenye mitandao ya kijamii, vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini. “kwa hiyo wanahamasisha baadhi ya watu ikiwezekana hata...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mabalozi hakikisheni Wananchi wenu wote walioandikishwa wanapiga Kura

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba...
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia amewasili kwenye kampeni Mwanza akiwa na ndege ya nchi (Air Tanzania) kwa misingi ipi?

    Hii leo Mgombea wa urais kupitia CCM ametua mwanza na ndege ya nchi, Naomba kufahau hii ndege ilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kukiwa na abiria wengine au yeye binafsi na wafuasi wake? hii ni aibu sana unatumiaje ndege ya nchi kwenye kampeni za chama? watanzania tuamke usingizini tunapigwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi akabidhi Boti ya Wagonjwa (Ambulance) Kisiwa cha Kojani-Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yatoa takwimu mpya: Wapiga Kura 37,647,235, vituo vya kupigia Kura 99,895 nchini

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imefanya marekebisho ya takwimu za wapiga kura na vituo vya kupigia kura vitakavyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, baada ya kupokea taarifa rasmi kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 7, 2025, na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda akizisaka kura za Rais Samia kwenye Daladala Mwanza

    Kwani ile Mikutano ya CCM huwa haitoshi Mgombea wao kujieleza Kuomba Kura kwa Wananchi, au ndo wanajishtukia kuwa sera zao hazina mvuto na ni za uongo Arusha ndo hata hawaelewi Mgommbea wao yupo Mwanza anazurura badala ya kubaki kwa wananchi wake kunadi sera zake
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CUF Jimbo la Kakonko amuombea kura Mshindani wake wa ACT-Wazalendo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kakonko kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Damas Philbert Damas, amemuombea kura mgombea ubunge mwenzake wa chama cha ACT Wazalendo wa jimbo hilohilo, Olaf Kaboboye, katika tukio lililofanyika Kata ya Katanga, Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma Tukio hilo lilitokea...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Nina kesi ya kunyongwa, sina cha kupoteza; nipo tayari kufa lakini nitakuwa na amani ya kusema ukweli

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu, hakileti ustawi

    Askofu Bagonza ameeleza kuwa waamini wanapaswa kuomba ili taifa lipate viongozi wen hekima kuliko wenye kiburi cha madaraka "Tuombee hekima kuliko kiburi cha madaraka ambacho kiburi cha madaraka kinaleta uharibifu hakileti ustawi wa wati wake" - Askofu Bagonza
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Tuombe Mungu atuepushe na amani inayoletwa na Bunduki, Virungu na mabomu

    Askofu wa Dayosisi ya kKKT Karagwe, Askofu Bagonza akizungumza katika misa ya uzinduzi wa Sharika mpya katika Jimbo la Ihembe amewataka waaamini kuendelea kumuomba Mungu katika uchaguzi huu ili kupata amani itakayoletwa na haki na si virungu, mabomu wala bunduki. "Tumuombe Mungu ili haki ilete...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deus Bugaiywa: Bila amani Tanzania huwezi 'kutoboa' kimaisha

    Deus Bugaiywa, Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Maendeleo leo Oktoba 7, akizungumza kupitia Clouds TV amesema; "Vijana wanasema wanatoboa kimaisha lakini huwezi kutoboa kimaisha kama hakuna mazingira ya amani bali maisha yatatutoboa sisi badala ya sisi kuyatoboa"
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Nachukizwa na wanaotaka kuharibu amani yetu, zamani walikuwa wanapewa adhabu au kufungwa, Oktoba tunatiki

    "Ninachukizwa sana vitendo vya watu wachache wanaotaka kuharibu amani ya Tanzania. Zamani watu kama hao walikuwa wakitokea walikuwa wanapewa adhabu kali hata kufungwa kabisa" amesema mwananchi" Huyu mwananchi mwenzetu ni kama haelewi hata anachoongelea maana anakubaliana na utekaji na watu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano Oktoba 29, piga Kura rudi nyumbani

    "Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano tarehe 29. Wasikuponze, wasikupotezee maisha yako, piga kura rudi nyumbani uangalie kinachoendelea. Usitafute makubwa yasiyokuhusu" — Sheikh Alhad Mussa Salum
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Oktoba 29

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika: "Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Octoba 29" akiwa ameambatanisha na video inayomuonyesha akisalimiana na wananchi
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyalandu: Tunachohitaji ni umoja wetu ndani ya CCM, kuhakikisha Samia anapata kura za heshima

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu, amewaomba watanzani kujitokeza kusikiliza sera za mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan ili ifikapo Octoba 29 mwaka huu waweze kumchangua kuliongoza Taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika ofisi za...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu ahidi kumaliza tatizo la maji Makunduchi

    Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amewaahidi wananchi wa jimbo la Makunduchi kuwa atahakikisha anasaidia utatuzi wa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama ili wananchi wafaidike na huduma hiyo muhimu kwa mahitaji ya kibinaadamu na kijamii...
Back
Top Bottom