uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

    Sina maneno mengi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu. Inafahamika, nyie hamuegemei popote. Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Vyombo vikubwa vya Habari vimepewa vitisho na TCRA kutozungumzia mambo ya msingi kwenye uchaguzi

    Akiongea na wananchi kupitia mitandao ya kijamii, Humphrey Polepole amesema vyombo vikubwa vya habari vimetishwa na kupigwa marufuku kuzungumza mambo ya msingi kwenye kampeni na uchaguzi. Amesema vyombo vyote vinavyopigwa onyo na TCRA vimekuwa vikimpa taarifa. Ameongeza kuwa TCRA inatakiwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nipo hapahapa Bongo lakini sitaonekana kwenye kituo cha kupiga Kura

    Akizungumza kwa njia ya mtandao Septemba 30, 2025, Humphrey Polepole alithibitisha kuwa yupo nchini Tanzania, lakini hatoonekana kwenye kituo chochote cha kupiga Kura, akisisitiza kuwa hakuna uchaguzi bila muafaka wa kitaifa kwanza.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakamani kuendelea na kesi ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo kesi yake ya uhaini inayomkabili itaanza usikilizwaji kamili wa kesi hiyo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Vijana Geita wana imani na Rais Samia, Kuna baadhi ya wahuni wanataka kuandamana Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Ikitokea CCM imeshinda mtafute nchi za kwenda

    Mzee huyu ameonyesha huruma kwa vijana wanaopanga wakingoja tarehe 29 kwa hamu, akiwashauri kujiandaa kutafuta njia mbadala endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda uchaguzi. Akizungumza katikati ya vuguvugu la maandalizi ya maandamano, mzee huyu anawaasa vijana wanaopanga kuandamana...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi Mahakama Kuu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wawakilishi wa Marekani na New Zealand wazuiliwa kuingia kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia ndani ya mahakama kwenye kesi ya Mh. Tundu Lissu. Soma CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi Kigoma: Kuna viongozi walipita na elimu zao na hatukufaidika, Tunamtaka Baba Levo

    Kigoma kunazidi kuchangamka leo wananchi wanataka kumpeleka chawa bungeni baadae watalia hela zote za miradi zikipelekwa kwenye kujenga Maghorofa ya Baba Levo :Alien: :Alien: :Alien: :Alien: ------------ "Kuna watu wamekaa kwenye madaraka zaidi ya miaka 10 hadi 15 na wamesoma lakini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Mkinga, Twaha Mwakioja: Natambua hakuna umeme, kama Ilani ya CCM inavyoelekeza ndani ya miezi 3 tutawasha umeme

    Mgombea ubunge wa Mkinga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewaahidi wananchi iwapo wakimpa ridhaa ya kuliongoza jimbo hilo, atatatua kero ya umeme kwa baadhi ya vijiji ndani ya miezi mitatu Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mayomboni wilayani...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya Lissu, kadhaa wajeruhiwa

    Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewatawanya wananchi waliokusanyika Mahakamani kwa kuwapiga na kutumia nguvu, huku watu kumi pekee wakiruhusiwa kuingia ukumbini kwa madai kuwa umejaa. Soma: Kesi ya Uhaini...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pof. Lipumba: Tuliamua kushiriki uchaguzi kuonyesha uzalendo, Rais Samia waambie vyombo vyako kura zihesabiwe kama zilivyopigwa na wananchi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chao kiliamua kushiriki Uchaguzi Mkuu ili kuonyesha uzalendo na kudumisha amani na mshikamano kama Taifa moja Prof. Lipumba amesema hayo Oktoba 5, 2025 kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la...
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu kuendelea leo kwa kusikilizwa mfululizo hadi Oktoba 24, 2025

    Kesi ya uhaini, Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu A. Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025. Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Butiku amjibu Kapteni Tesha: Yeye sio askari na kama ni askari atakuwa na jeshi lake jingine

    Wakuu, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amewataka Watanzania kupuuza taarifa zilizotolewa jana Oktoba 4, na mtu aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), aliyetoa wito wa jeshi kuchukua hatua dhidi ya Serikali. "Nilimuona ana ndevu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia

    " Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Watu milioni 14 wamejitokeza kwenye kampeni, milioni 31 wametazama kupitia vyombo vya habari

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Samia Suluhu Hassan tayari zaidi ya wananchi milioni 45 wameshiriki kikamilifu kwa kufuatilia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Unapoona wingi wa watu kwenye mikutano na vyama kuvutiwa ni sababu Rais Samia anatimiza wajibu kwa watanzania kupata wanachostahili

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeeleza kuhusu Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) zinazoendelea ambapo Mgombea nafasi ya...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jukwaa la wahariri lakemea kuhusu 'Kapteni Tesha'

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli na maudhui yaliyosambazwa katika mitandao ya kijamii Oktoba 4, 2025, yakionesha watu wanaodaiwa kuwa wanajeshi wakihamasisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujiingiza katika siasa kupitia mapinduzi. TEF imesema hatua hiyo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Mgombea Ubunge (CCM) Jimbo la Makunduchi Zanzibar, Wanu Hafidh nyumba kwa nyumba kuomba kura na kugawa vitenge

    Kwahiyo anachokifanya Wanu ni Rushwa au si Rushwa kwa sababu dola anatawala Mama, na kuna haja gani yeye kupita nyumba kwa nyumba wakati hana mpinzani :FeelsWeirdMan: ------------ Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Wanu Hafidh AMeir akipita nyumba kwa nyumba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machifu kuliombea Taifa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na utulivu. Mratibu wa Umoja wa Machifu wa mikoa ya Kusini, Chifu Sad Wabu (Mitondo wa Pili) ameyasema hayo...
Back
Top Bottom